Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Poa mkuu,
Mimi natafuta wanapouza kufuli za aina zote kwa bei nzuri. Just kufuli za quality zote.
Safi sana mkuu! Ila ukiweka na contact zao hapa ungekuwa umetuvusha sana maana katika biashara mawasiliano ndio mpango mzima!
Me nataka kujua chimbo la mapazia na mikoba ila nko mkoan
Na mtaa wenye machimbo ya nguo za watoto
Chimbo lipi kariakoo la kupata bidhaa za jumla za simu kama cover, screen protector, headphone, charger, na simu za bei ya jumla
Naomba kujua machimbo ya vitambaa vya vijora yapo sehem gan k, koo
Chimbo la bidhaa za sokoni mfano ndizi mzuzu,samaki kitoga kambare n.k km kunamtu anaye jua please
Chimbo la bidhaa za sokoni mfano ndizi mzuzu,samaki kitoga kambare n.k km kunamtu anaye jua please
Chimbo LA vifaa vya michezo kwa jumla ni wapi.?
jezi,mipira,viatu,vifaa vya mazoezi na n.k
Chimbo la chupi za wananwake na zile tyt wanaziita leggings
nguo za ndan chimbo lake vip
Habari za humu naombeni machimbo ya accessories za simu qa ajili ya biashara
Chimbo la dawa muhimu za binadamu kwa kariakooo linapatikana wapi?
Samahani na chimbo mashuka ya spesho napata wap jumla kwa Dar
Samahani na chimbo mashuka ya spesho napata wap jumla kwa Dar
Mkuu vipi hujapata hili chimbo bado? na mimi nahitaji
Unaweza kuwa na address zao kama namba za simu na emails mkuu, maana mi nipo mkoani
Umeupiga mwingi sana umewapa mwongozo
Uchawi kuijua mitaa sasa [emoji3]
Hivi vitambaa vya kushona mapazia vinapatikana wapi?
Wap naweza pata viatu aina hiiView attachment 2367299