Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ukiwa na Muongozo, Mitaa unaelekezwa baada ya kufika jirani na Eneo husika
Chimbo la Solar equipments n Somal kipande
Pia kuna Chimbo la Ubuyu wa vimto na Ladha nyingine. N pale kwa Magomeni kanisani njia ya kwenda Tandale.
Jezi lonya znapatkana wapi?
Asante mkuu ,Sasa Mimi nataka vitambaa vya vijora vile plain natengeneza mwenyewe vijora vya batiki Ila sipo dar natamani kujua Bei yake wanauzaje lile jora zima?
Viatu na kadeti?
0768 563 920Lipo maeneo gani mkuu?
Kitabu cha machimbo ya biasharaKitabu cha Machimbo ya Biashara Kariakoo bidhaa za jumla na rejareja bei nafuu
Ni kitabu kizuri sana kwa wafanya biashara. Kina namba za suppliers 600 wa jumla na rejareja. Kina maduka ya wachina yanayo patikana Kariakoo. Whatsapp: 0612607426 Email: bandg.editors@gmail.comcampuscitymall.com
Habari dada,Nenda kariakoo shimoni kabla hujafika pale shimon jengo la Nyama yake kuna maduka hapo chini Yanauza less kwa bei rahis ndo kuna duka kubwa la vitu vya shule kwa bei chee
Habari jombaa,Aseme tu bidhaa gn anataka nimpe link😄
Kalaga Baho Nongwa nisaidie kumjibu mwamba hapaHabari jombaa,
Natafuta chimbo la hizi bodysuit hapa Kariakoo. Niende duka/mtaa gani ?
View attachment 3185509
Aende manyema kwa CHEI CHEIKalaga Baho Nongwa nisaidie kumjibu mwamba hapa
Nakazi na wwAende manyema kwa CHEI CHEI
Machimbo ya mashuka ya mtumba grade A nataka ya biashara niweke dukani
UNAKERA NA MALINK YA LIKITABU LAKO HALINA FAIDA.Kitabu cha Machimbo ya Biashara Kariakoo bidhaa za jumla na rejareja bei nafuu
Ni kitabu kizuri sana kwa wafanya biashara. Kina namba za suppliers 600 wa jumla na rejareja. Kina maduka ya wachina yanayo patikana Kariakoo. Whatsapp: 0612607426 Email: bandg.editors@gmail.comcampuscitymall.com