Angalia muda nani kaanza. Pia insta yangu kuonyesha machimbo ni zaidi ya mara moja, ni kawaida kushare ujumbe.

Hata hivyo hajafanya vibaya. Lengo ni kusaidiana

Kweli. Hiyo ni kutokana na kipato. Suti unapata mzuri kulingana na bei.
Hii umeshona kwa fundi. Na si suala la kipato ni kujua namna ya kuvaa. Wewe unajua machimbo turuhusu nasi tukuelekeze namna ya kuvaa. Sisi unatulekeza machimbo. Usivae "koti" la suit kama umevaa kitop.
 
Mwenye anauza Timberland nyeusi au rangi yoyote used au mpya no 43/44 njoo tuongee
 
Duka la raba na viatu Clark or timberland Bei simple ni mtaa gani?
 
Hii umeshona kwa fundi. Na si suala la kipato ni kujua namna ya kuvaa. Wewe unajua machimbo turuhusu nasi tukuelekeze namna ya kuvaa. Sisi unatulekeza machimbo. Usivae "koti" la suit kama umevaa kitop.
Sawa. Asante sana 🤣🤣
 

Vest + Boxer + Raba(ALL start). Chimbo lake mkuu kama inawezekana maana nimepigwa chenga sana na mawinga hizi sehem.
 
Asante mkuu ,Sasa Mimi nataka vitambaa vya vijora vile plain natengeneza mwenyewe vijora vya batiki Ila sipo dar natamani kujua Bei yake wanauzaje lile jora zima?

Hivi ndio kama vile vitambaa wanauza mombasa wanashona sijui madera au?
 
1: Chimbo la mashuka na mapazia nenda pale bib titi road next to geti la Cbe bei cheee,
2: ukitaka vitambaa vya suit kali visivyopauka nenda Khimji ya pale karibu na samora na morogoro road kwenye mataa zinapopita mwendokas kushusha kituo cha jiji(sio khimji ya karibu na clock tower)
3😛erfume nzuri za kupima kila harufu nenda city mall floor ya chin kuna mwarabu anapima kuanzia 5k unaweza changanya ladha(cocktail)
4: Raba kali bei rahisi za kiume ingia chocho ya kushoto kama unatoka Msimbaz polisi unaambaa na barabara ya mwendokas kama unaenda gerezan mwisho wa kituo cha mwendokas kula kushoto ingia hiko kinjia chenye meza nying za machinga upande wa kushoto kwako kuna maduka ya chini na juu zama huko
5: Heels kali za kike mbele ya hio njia nliokuelekeza namba 4 hapo juu nenda mbele before hujavuka congo kushoto kwako kwenye kona kuna maduka ya heels za kike
 
Duka la raba na viatu Clark or timberland Bei simple ni mtaa gani?
Ukifika kituo cha mwendokas B kuna chochoro njia ya Narung'ombe st ingia hio njia upande wako wa kushoto kabla hujafika congo st kuna maduka meng sana ya viatu vya kiume unashuka vingazi ndan maduka yapo meng na mengine yapo juu hiv
 
Umetisha. Umeamsha uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…