Nkana Young46
Member
- Dec 27, 2022
- 11
- 13
Salamu ndugu wanajukwaa, hebu mnisaidie, ni wapi naweza nikapata chimbo la mitumba la nguo za kike hapa dar. Nia yangu nahitaji ninyi kama wanajukwaa mniunganishe direct na huyo muuzaji, hivyo ni vizuri zaidi kama ningepata namba ya sim ya huyo muuzaji au nikaungwa hata kwa wasap group za hayo machimbo..
Simu: 0758891810
Simu: 0758891810