raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
WAnakeraWana matusi waleeee
Sa ingine huwa nawatoa mkono kwa nguvu
Machinga wanalalamikiwa kwa sababu wadada wengi wanaenda sokoni kununua bidhaa na wanakutana na bugdha za hao machinga, ukija upande wa bodaboda pia ni mazingira ya vituo vya mabasi au sehemu ambazo watu wanapita, tofauti na maeneo mengune sio kila mtu anaenda bar au disco au kwenye kumbi za starehe za hovyo hovyo zisizo na stahaIla nilichogundua hapa wadada wanabagua
Yaani ni machinga na bodaboda tu ndio wanalalamikiwa hapa
Kuna wengine naamini wanaendaga sehemu za starehe na wanakumbana na dhahma kama hizi sema kule sabb mtu anakuwa ameshika remy martin na funguo ziko kiunoni basi kimyaaaaaaaa π
Huyo anaefanya hayo ni maisha yake, ni maamuzi yake.Ninaona kama umekatwa mikono kiasi kwamba huwezi kusugua kucha zako bidada
Sasa utapakwaje rangi bila kushikwashikwa?Huyo anaefanya hayo ni maisha yake, ni maamuzi yake.
Magufuli panakeraaaa[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naunga mkono hoja.
Kuna siku wapiga debe walinigombania khaaaa niliondoka nanukia kibeberu.
Sijui hawaogagi.
Ni maamuzi yao. Hiyo ya kushikwa shikwa mwanamke mwenyewe atake. Anaweza akaenda hata gengeni tu kama ndio tabia yake akikutana na wazee wa kazi nako atashikwa tu.Sasa utapakwaje rangi bila kushikwashikwa?
Usimpe masharti mpaka rangi kama umeenda na udhu wako utachangukatu.
Someni alama za nyakati
Alafu mdada akiongozana na mwanaume angalau wanapunguza hiko kiherehere. Peke yako sasa hamna rangi utaacha onaMagufuli panakeraaaa[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huwa nawauliza mmejengewa stend nzuri executive lakini mmehamia na tabia za ajabu ajabu....Acheni kushika shika watuMagufuli panakeraaaa[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ila hujakutana na wenye midomo michafu....asee ukiwatoa mikono wanakuchamba hadi unajiona chooWAnakera
Hao wanaochamba ni wazuri, kabla hajaanza kuchamba nishampasua taya aiseeIla hujakutana na wenye midomo michafu....asee ukiwatoa mikono wanakuchamba hadi unajiona choo
Kama kwako unaweza kubali kudhalilishwa na huyo Diamond ni wewe, mimi kushikwa bila ridhaa ni udhalilishaji bila kujali aliyenishika sipendi na itanikera kama navyoshikwa na mpiga debe tu.Picha ikwapi sasa, ungeshikwa na Diamond ungekuja kufoka huku mxieeeeeeeeeeeeeeeuuuuuuuu, any way kuna jamaa siku moja napita mwenge pale akakutana na pisi kali inakuja kwa mbele akazuga hana kwa kupita akaisogelea akaanza kuichezea titi pisi kali ikapigwa na butwaa kwa sababu jamaa anamvuto ikavunga angekuwa mpiga debe tungesikia kelele.
Si kama Mimi tuNaunga mkono hoja.
Kuna siku wapiga debe walinigombania khaaaa niliondoka nanukia kibeberu.
Sijui hawaogagi.
Kwaiyo wanawake waliowazaa ni mbwa sio ok nimeelewa [emoji3166][emoji3166]Sio wastaarabu, na wengi ni watoto wa mb.wa wamekulia ushenzini kusiko na maadili, so ukiongeza na alosto la ajira, maisha magumu matokeo yake ndo hayo.
Duh me nguvu za kupigana sina aseeHao wanaochamba ni wazuri, kabla hajaanza kuchamba nishampasua taya aisee
Unajichetua tu hapa kujipa thamani we akushike Justin Bieber we uongee acha zako, hizo tabia za kushikwa mnazo nyie wadada wavaa hovyo kwa wakaka huwa haitokei akashikwa nyonyo sijui tako hizo ni tabia zenu kwa namna mnavyojiweka me mwenyew nikiri tu hapa nisiwe mnafiki ukinivalia kimini lazma nikushike tako, wenzako nishawashika nikiwa maji sio mmoja hata na hawajishengendui wanatulia tuli.Kama kwako unaweza kubali kudhalilishwa na huyo Diamond ni wewe, mimi kushikwa bila ridhaa ni udhalilishaji bila kujali aliyenishika sipendi na itanikera kama navyoshikwa na mpiga debe tu.
Huu ni udhalilishaji wa kijinsia mbona? Tanzania bado watu wanaishi kama wako zile zama za mawe. Machinga wanaposhika wanawake lengo hasa siyo kutangaza bidhaa bali ni kupunguza tamaa zao angalau kwa kushika. Hii imeshakuwa kama culture yetu na kuja kuiondoa tena ni vigumu mno.Wanakera sana