Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!

Wewe unasema hawa kina mama wa uswazi ambao wanapotoka nyumbani wasipopigiwa miluzi wanaona kama wameamka na balaa.
 
Wapiga debe pia kwenye vituo vya daladala naona huwashika sana mabinti.
Pana mmoja Arusha Stand hapo alimshika Binti mwenye mtoto alikua nyuma yule Binti alivyoshikwa tuu akamgeukia Baba yake aisee binadamu akiwa na hasira ana nguvu sana alipigwa ngumi moja tuu jamaa alipepesuka kama kamwagiwa dawa ya kuulia wadudu huwa sina kawaida ya kuendelea kushangaa na yule mpigaji aliendelea kutembea tuu kama hakuna kitu kilichotokea nilibaki kucheka tu...
 
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787]
 
Mufindiii inapalia usiku mnene
 
Naunga mkono hoja.
Kuna siku wapiga debe walinigombania khaaaa niliondoka nanukia kibeberu.
Sijui hawaogagi.
Uligombaniwa kama mpira wa kona 🀣🀣🀣🀣
Sasa jamani wamachinga nao wana hamu ya kushika pisi kali. Pesa wasishike na warembo nao wasiwashike🀣🀣🀣🀣 acheni uchoyo mavumbini mtarudi mjue
 
Hao vijana wanatabia chafu sana ya kumzonga mtu wasiomjua na kumshika bila idhini na wanajua ni kosa. Tatizo wanachekewa mpaka imekuwa kero.

Kampala ukimzonga mdada au ukamgusa akienda polisi ni kosa inakula kwako. Kule mdada hata akipita kavaa nguo fupi huoni mtu akimzomea
 
ila hata wanawake nao wanao pigo za kutupa mkono uje kugusa Mti wa muhuni huku wakujifanya ni bahati mbaya kumbe wanapima kubwa kwa kugongesha mkono kwenye karakana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…