Mbele ya duka la.mtu unapangwaje? Akili ndogo kabisa.Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Ni Sheria gani hiyo?kuna sheria ya wamachinga kulipa 20000 kisha wasisumbuliwe. Hii sheria iheshimiwe
Tatizo litatuliwe, siyo kuliahirisha kwa kufukuza wmachinga
Tatizo ilikua JPMSerikali hiyo hiyo iliwaacha wafanye biashara barabarani,maisha yao kwasasa yanategemea kukaa barabarani .Wameoa,wamekopa,wanajenga,wanasomesha wakiwa barabarani
Akili yake inamtuma kukwepa kodi na kuwavurugia wenye biashara zao hawalipi Kodi watu Kama hawa!! Huwa kawaida ni kuwasumbua Wamachinga ili ambaye mtaji umekuwa anaanza kulipa kodi!! Sasa ilifikia watu wanaanzisha supermarket kwa road!!Mbele ya duka la.mtu unapangwaje? Akili ndogo kabisa.
Mungu akamwambia tupisheTatizo ilikua JPM
Na nani angemdindia yule Baba kumuambia unakosea?.
Akili yake inamtuma kukwepa kodi na kuwavurugia wenye biashara zao hawalipi Kodi watu Kama hawa!! Huwa kawaida ni kuwasumbua Wamachinga ili ambaye mtaji umekuwa anaanza kulipa kodi!! Sasa ilifikia watu wanaanzisha supermarket kwa road!!
Tena wachuuzi wa bidhaa za China. Yaani nchi imekua soko kuu la bidhaa za China. Hakuna uzalishajiYaani ndugu yangu, nchi imekuwa ni ya wachuuzi tena vijana walio na nguvu wazalishaji wachache.....kaazi kwelikweli.
Mama alitoa kauli dhaifu Sana ya kuwatega watendaji wake kauli zake hazikuww bayanaMakamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Hapo ndipo tunapojidanganya, hivi unaanzaje kuwapanga watu elfu mbili kwenye kieneo cha watu Mia mbili?Upo sahihi kabisa ila wasifukuzwe wapangwe.
Hata mimi nimeshangaa...mtu mzima anapangwaje? LolWhy wapangwe badala ya kujipanga?
Kuwaondoa tu bila kupata suluhisho la kudumu la kuwawekea utaratibu na kuwatengea maeneo maalumu ya kufanyia shughuli zao na kujitafutia riziki ni sawa kuhamisha tatizo toka mfuko mmoja kwenda mfuko mwingine kwenye suruali hiyo hiyo.JPM aliwapa jeuri kubwa mpaka nchi nzima imechafuka!
Eti wapangwe vizuri barabarani na miferejini!
Tangu lini Rais akawa town planner?
SSH amerudia makosa yaleyale ya JPM hajasaidia kuondoa tatizo.
Acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kitaalamu. Umachinga ni zao la utawala wa CCM tangu enzi za Mzee "Ruksa". Ndiye alielitoa 'JINI' la UHOLELA (arbitrariness) kwenye chupa halafu JPM akaliweka sebuleni kwao CCM! Hapakaliki!
Ndiyo maana RC Makala alisema anajitoa muhanga ili lawama apewe yeye. Badala ya SSH kukaa pembeni amekoroga zoezi tena!
Wapangwe vizuri haina maana wabadilishe mkao tuseme, mstari au vipi ni pamoja na kupewa maeneo mapya. Utawapangaje vixuri kwenye myaro barabarani au mbele ya fuka.Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.
Source: ITV Malumbano ya Hoja
Mkuu ulikataa kujengwa mall yenye floor yaoHiyo ina-defy logic...
Unapangwaje sehemu vizuri wakati sehemu hio hairuhusiwi kisheria ? Huduma za vyoo n.k. kwao na kwa wateja vitapatikana wapi ?
Mkuu tumejaribu kuleta solution ila inavyoonekana kila mtu ana mawazo yake, mimi nili suggest ijengwe mall yenye floor yao wamachinga hapo hapo mjini sababu mkitegemea wahame hapo mjini, hawatafanya hivyo,watarudi tu dawa ni kuwajengea floor yao na kuhakikisha kuna community police officer kuhakikisha hakuna mfanyabiashara yeyote anaefanya biashara eneo sio maalumu kwa biasharaKuwaondoa tu bila kupata suluhisho la kudumu la kuwawekea utaratibu na kuwatengea maeneo maalumu ya kufanyia shughuli zao na kujitafutia riziki ni sawa kuhamisha tatizo toka mfuko mmoja kwenda mfuko mwingine kwenye suruali hiyo hiyo.
Tatizo letu ni kwamba watu wengi tunaliangalia suala zima la wamachinga on the surface, hatuoni chimbuko na mzizi wake, na kwa hiyo solution zetu ni shallow kiasi kwamba hazitatui tatizo hata kwa wiki moja.
Sijui great thinkers wanaoweza kuja na permanent working solution wako wapi?
Mimi au?acha bangi dogo.