Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

Hakuna soko lililoungua likajengwa tena kwa staili ile ile ya awali, la sivyo wajiaandae kupigwa kiberiti tena....ni swala la muda tu.

Hapo wanajitengenezea bomu lingine la pili.
Stail hii ya ujenzi ndio yetu hayo maghorofa yaliwaliza mwanjelwa
 
Akuna machinga atakae rudi tena,hapo ndo imeisha iyoo.wapigaji wanawekeza hapo wapige mzigo mrefu.
 
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.

Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.

Source: East Africa tv

Maendeleo hayana vyama!
Hii nimeipenda sana....
 
Ndio mana mwendazake alikuwa akitoa maamuzu ya papo kwa papo. Kuna tume imeundwa tangu mwaka jana mwezi wa saba soko la k.koo lililoungua mpaka leo kimyaa
Umesahau ile ya Wizara ya Fedha. Waziri Mkuu sina hakika kama amepewa ripoti hiyo.

Uundwaji wa tume unataka kufanana na matamko ya CHADEMA ambayo huwa hayana faida kwa maendeleo halisi ya kiuchumi kwa wananchi wa Tanzania.

Rejesheni umuhimu halisi qa uundwaji wa tume.
 
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.

Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.

Source: East Africa tv

Maendeleo hayana vyama!
Machinga wanataka wajenge soko au wanataka wawekeabanda eneo lilipokuwepo soko?
 
Hizo tume kila siku zinaundwa wakati ripoti haisomwi kwa wananchi kuna maana gani kuendelea kuunda hizo tume?

Hawa jamaa waache kufanya kazi kwa mazoea, kama jambo limeshawashinda bora wakae kimya tu kuliko kuja na majibu yaleyale yaliyoshindwa kujibu mitihani iliyopita, wasichezee akili za watu.
usanii mtupu
 
Hyo kitaalam inaitwaje..
Mtu kaamua kujilipia nauli...jamaa wameshtuka, hapo panatakiwa pajengwe mjengo wa maana ndio maana wakawatoa
 
Kazi ya ccm hiyo ya kuchomea watu vibanda vyao hawawezi kukaa bila ya kuumiza watu.

Mungu atawalani duniani na akhera.
 
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.

Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.

Source: East Africa tv

Maendeleo hayana vyama!
Hivi ile Tume ya waziri Mkuu juu ya soko la Kariakoo ilishatoka?
 
Ila kiukweli..lile eneo potential sana, wale machinga wanaingiza kodi ndogo sana pale, serikali ikiamua kuwekeza pale inapata pesa nyingi sana..
Yale mabanda wanayojenga ni ya kizaman sana..
Samahani machinga mlioko humu..mnisamehe
 
Back
Top Bottom