Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Sisi machinga wa karume, tuko tayari hata kujenga ghorofa kumi hapo,, hiyo kazi watuachie tu[emoji1745]Hakuna soko lililoungua likajengwa tena kwa staili ile ile ya awali, la sivyo wajiaandae kupigwa kiberiti tena....ni swala la muda tu.
Hapo wanajitengenezea bomu lingine la pili.