Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.

Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.

Source: East Africa tv

Maendeleo hayana vyama!

Hio riport ya mwaka jana iko wapi?
 
Mwaka 2025 kuna wapuuzi watapanda jukwaani na kujiita serikali ya Machinga [emoji2955]

Kuna watu wamenunua mzigo wa mabegi na viatu na mashati wauze hii january. Na hali ilivo ngumu mtu akaweka kahela chake chote hapo akiamini january wateja wa shule wengi atavumilia February ataishi vizuri

Ipo siku maskini atachoka kuvumilia.
 
Ndio mana mwendazake alikuwa akitoa maamuzu ya papo kwa papo. Kuna tume imeundwa tangu mwaka jana mwezi wa saba soko la k.koo lililoungua mpaka leo kimyaa
Yaaani mi sipendi kurudi kufanya KAZI Karne za nazoea Ila Nina uhakika hii awamu ni ya enzi hizo
 
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.

Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.

Source: East Africa tv

Maendeleo hayana vyama!
Chinga wameshasoma mchezo kwamba hapo wanataka kumpa mwekezaji...........msikubali longolongo waambieni mtakomaa wenyewe kupajenga.
 
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.

Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.

Source: East Africa tv

Maendeleo hayana vyama!

Yaani watu ambao hawana hata maduka ndiyo wajenge soko! Litakuwa jalala msikubali huu mjinga ni udalali tu hapo
 
Hatimaye tumezuiwa kuingia ktk eneo na mirunda tuliyochimbia jana askar wamesema wanatulindia tusiwe na shaka
 
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.

Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.

Source: East Africa tv

Maendeleo hayana vyama!
Watakuwa CCM wamehusika 100%
 
Ila kiukweli..lile eneo potential sana, wale machinga wanaingiza kodi ndogo sana pale, serikali ikiamua kuwekeza pale inapata pesa nyingi sana..
Yale mabanda wanayojenga ni ya kizaman sana..
Samahani machinga mlioko humu..mnisamehe
Hahah potential kwao na kwa muda waliokaa hapo hao jamaa wana hela ndefu sana sio level za machinga tena. Kumbuka watu wa Congo na mataifa mengine wanakuja fungasha mzigo hapo achilia wa mikoani.

Watu wanaoingiza laki 2-3 kwa siku ni wengi sana hapo sokoni ndio maana wana jeuri ya kusimamisha milunda upya na kuseti vibanda bila kuremba. Hawaitaji msaada wa serikali wanataka kuendelea na mishe
 
Kwanini hawa Wanaoteuliwa kuwa kwenye hizo Tume wasiwe Watumishi kwenye Idara ama Vitengo husika ili kuokoa gharama? Ama ndiyo Mganga hajigangi?

Na hufanyaje fanyaje kazi zao ili kuja na majibu?
Mzee unadhani wewe ungeteuliwa kuwa kwenye hiyo tume ungekataa? kiserikali hii robo ya 3 ya utekelezaji wa bajeti hivyo watu wanamalizia malizia mabaki, robo ya 3 &4 ndiyo pesa huwa zinapigwa vizuri kuliko vipindi vyote.
 
Back
Top Bottom