Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ndio wame sabottage!Hii ni Bongo. Usikute wenye hela wanatumia nafasi hiyo kunyang'anya maeneo ya victims wafanye biashara ya kukodisha
Maeneo yatakodishwa na wamiliki wapya ili wachukue hela direct.