Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ni njia ya kupiga pesa
Wana dhambi sana na ndio maana hizi laana zinawakumba wengi
Hakuna anaeendelea kwa dhulma amini hilo sis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni njia ya kupiga pesa
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.
Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.
Source: East Africa tv
Maendeleo hayana vyama!
Yaaani mi sipendi kurudi kufanya KAZI Karne za nazoea Ila Nina uhakika hii awamu ni ya enzi hizoNdio mana mwendazake alikuwa akitoa maamuzu ya papo kwa papo. Kuna tume imeundwa tangu mwaka jana mwezi wa saba soko la k.koo lililoungua mpaka leo kimyaa
Chinga wameshasoma mchezo kwamba hapo wanataka kumpa mwekezaji...........msikubali longolongo waambieni mtakomaa wenyewe kupajenga.Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.
Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.
Source: East Africa tv
Maendeleo hayana vyama!
Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.
Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.
Source: East Africa tv
Maendeleo hayana vyama!
Hivi yale mabati na mirunda iliyoungua walijenga wakina nani ?Yaani watu ambao hawana hata maduka ndiyo wajenge soko! Litakuwa jalala msikubali huu mjinga ni udalali tu hapo
Swali zuri sana!Hivi yale mabati na mirunda iliyoungua walijenga wakina nani ?
Ova
Maana siyo tunalaumulaumu tuSwali zuri sana!
Watakuwa CCM wamehusika 100%Waziri wa Tamisemi Mh Bashungwa ametoa siku 7 kwa tume ya uchunguzi kukamilisha kazi na kutoa taarifa ya chanzo cha moto soko la Karume.
Nao wamachinga wamemtaka RC Makalla awaruhusu wajenge soko lao wao wenyewe kwa gharama zao.
Source: East Africa tv
Maendeleo hayana vyama!
Itolewe elimu ya kutosha kwa hiliWakishajenga wajikusanye wakate Bima ya moto maana mtumba huwa unawaka kama petroli.
Wanalipwa kwa siku Mwenyekiti na Katibu @ 200,000 na wajumbe @150,000Hivi hizi Tume hufanyaje kazi zao ili kupata majibu? Na je, huwa wanajitolea ama wanalipwa kufanya huo uchunguzi?
Jamaa wanapeana ulaji kianaBongo kuna tume za kipuuzi nyingi sana , kuanzia kile kidude kinachoitwa tume ya uchaguzi inayosimamia uchafuzi wa Viongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watapokezana wenyewe kwa wenyewe kulinda na kufanya doria hadi Lissu awe rais na Mwamba wazir mkuuWakishajenga wajikusanye wakate Bima ya moto maana mtumba huwa unawaka kama petroli.
Hahah potential kwao na kwa muda waliokaa hapo hao jamaa wana hela ndefu sana sio level za machinga tena. Kumbuka watu wa Congo na mataifa mengine wanakuja fungasha mzigo hapo achilia wa mikoani.Ila kiukweli..lile eneo potential sana, wale machinga wanaingiza kodi ndogo sana pale, serikali ikiamua kuwekeza pale inapata pesa nyingi sana..
Yale mabanda wanayojenga ni ya kizaman sana..
Samahani machinga mlioko humu..mnisamehe
Kwanini hawa Wanaoteuliwa kuwa kwenye hizo Tume wasiwe Watumishi kwenye Idara ama Vitengo husika ili kuokoa gharama? Ama ndiyo Mganga hajigangi?Wanalipwa kwa siku Mwenyekiti na Katibu @ 200,000 na wajumbe @150,000
Mzee unadhani wewe ungeteuliwa kuwa kwenye hiyo tume ungekataa? kiserikali hii robo ya 3 ya utekelezaji wa bajeti hivyo watu wanamalizia malizia mabaki, robo ya 3 &4 ndiyo pesa huwa zinapigwa vizuri kuliko vipindi vyote.Kwanini hawa Wanaoteuliwa kuwa kwenye hizo Tume wasiwe Watumishi kwenye Idara ama Vitengo husika ili kuokoa gharama? Ama ndiyo Mganga hajigangi?
Na hufanyaje fanyaje kazi zao ili kuja na majibu?