Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

Siku saba!

 
Kwa apo ndio watakuwa wamefaulu ila wakiingia kwenye mtego wa kujengewa na serikali au had wasubilie uchunguz wao ukamilike,watajuta!!
 
kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Hizo hela wanazotarajia kulipana kwenye tume wangewanunulia vifaa wajenge soko lao kiroho safi kabisa
 
Hawana utaalam wa kuchunguza na kujua chanzo nini?

Ova

Huwa nashangaa sana wanapotuona wajinga kwa kuweka maslahi yao mbele

Hizi tume sijawahi kusikia zimepata nini baada ya uchunguzi
Wanatuma watu halafu ndio imetoka hiyo
 

Ukuda tume
 
Hakuna binadamu kusogolea hayo maeneo. Tuachieni sisi wenye vyeo tunajua cha kufanya. Nyie wamachinga mtahamishiwa kisarawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…