Machinga wa Karume waitaka Serikali iwaachie wajenge soko lao lililoungua, Waziri Bashungwa aunda Tume ya Uchunguzi

Hii ni Bongo. Usikute wenye hela wanatumia nafasi hiyo kunyang'anya maeneo ya victims wafanye biashara ya kukodisha
Ndio wame sabottage!
Maeneo yatakodishwa na wamiliki wapya ili wachukue hela direct.
 
Mzee unadhani wewe ungeteuliwa kuwa kwenye hiyo tume ungekataa? kiserikali hii robo ya 3 ya utekelezaji wa bajeti hivyo watu wanamalizia malizia mabaki, robo ya 3 &4 ndiyo pesa huwa zinapigwa vizuri kuliko vipindi vyote.
Sawa.

Kumbe lengo ni kula Pesa siyo?

Kwa mantiki hii, Afrika ili tuendelee labda Mzungu arudi kututawala tena.[emoji848]
 
Hatimaye tumezuiwa kuingia ktk eneo na mirunda tuliyochimbia jana askar wamesema wanatulindia tusiwe na shaka
Lilikuwa ni swala la muda tu mzee, poleni sana...haliwezi kujengwa soko lile lile la zamani.
 
Sawa.

Kumbe lengo ni kula Pesa siyo?

Kwa mantiki hii, Afrika ili tuendelee labda Mzungu arudi kututawala tena.[emoji848]
Mkuu hakuna mwenye nia mjema na wananchi hata mmoja, jiulize kwanini hawataki mishahara yao ipunguzwe wala ikatwe kodi pamoja na posho zao huku wanajiita ni wazalendo? wewe ukipata chance piga usiogope
 
Hizo tume kila siku zinaundwa wakati ripoti haisomwi kwa wananchi kuna maana gani kuendelea kuunda hizo tume?
Ripoti si lazima isomwe kwa wananchi. Tume inawajibika kupeleka ripoti yake kwa mamlaka iliyoiunda. Wananchi hawajaunda tume
 
Tume Tume Kariakoo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daganyikalism
Tuelimishane, ungekuwa wewe ndiyo Waziri ungefanya lipi? Mie nadhani pamoja na jitihada zinazofanyika basi Serikali ione haja ya kuanzisha bima za masoko

Kariakoo iliungua
Mbeya iliungua
Mwanza ikaungua
Magu ikaungua
Hiyo nayo imeungua
Karagwe (Kayanga) iliungua

Bima ni sehemu ya kutatua
 
Hiv hizo tume zinazoundwa kila siku mbona huwa sizisikii zikileta majibu ya uchunguzi wao?
 
Serikali ndo imeamua kuchoma! Over
 
Hiyo sio tume ni timu au kamati maana hana mamlaka ya kuunda tume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…