casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
Mnaowaita WANYONGE wakiongea, mnasema wanafanya siasa!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau Mmawia kaanzisha uzi wa kuwateteaFremu leo zimedoda mikoa yote, ina maana Machinga wanashindwa kujiunga hata watatu watatu wakachukua fremu wakaripa Kodi?
Nchi imekuwa ya kipuuzi sana mama ntilie wanashindwa kujiunga wakatengeneza taasisi inayolipa Kodi na wakafanya derivali ya chakula kwenye maofisi mida ya mchana?
Mpaka wakae kila Kona ya mtaa. Ebu tuache ushamba basi
Nashauri Machinga wathibitiwe Kama wanagoma vibanda vyao vyote vichomwe hatuwezi kuwa na taifa la watu wasiolipa Kodi, kufuata Sheria na katiba ya Nchi .
Mbaya zaidi kupoka haki za wengine hii haikubaliki hata kidogo lazima tuwe taifa la mfano.
Na mikoa yote ondoeni Machinga wenye mitaji mikubwa wakapange fremu wauze online bidaa zao wafanye derivali.
Wenye mitaji midogo watengewe viwanja vikubwa viwe Kama minada wafanye uko mbona kila mkoa unayo maeneo?
Makala nakushauri vunja kabisa kila kitu maana wabongo Ni wabishi Sana bila kuwavunjia hawataondoka kwa heri.
Tujenge Nchi tuache kufanya kila kitu siasa. Siasa ndio imetufikisha hapa tulipo.
Hakuna bomu, watengewe maeneo yaliyo bora na watafanya biashara bila shida... tatizo siasa za JPM ndio zimesababisha wakae mabarabarani na kufanya misongamano isiyo na maana. Kuchafua miji.Hayo ni maisha ya watu na ni wapi huko frem hazina watu kama kkoo mbona frem zimejaa tatizo mnataka watu wahangaike wakati wamejiajiri kutafuta riziki.Kama serikali ingekua imewekeza kwenywe viwanda na kilimo vijana wengi wangekua wako kwenye ajira.Hili ni bomu kubwa sana linaandaliwa
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
mpuuzi tu huyuHuna njaa! Huna shida wewe. Ukijaribu kuchangia jaribu kujiweka kwenye nafasi za hao majamaa.
wewe unalima nini mkuuWatu hawataki kulima siku hzi wamekimbilia biashara ya miwa na mayai
Mkuu, hao ndio wanarudi kitaa kutafuta pesa kwa ngeta!Yani naona wanapiga siasa tuuu, lazima wafuate utaratibu tuache kudanganyana. Kila lakheri Makala, usirudi nyuma, songa mbeleeeee
Ukiangalia machinga walivyojaa barabarani unajiuliza nchi hii tuna viongozi wa namna gani! Ikifika jioni barabara nyingine zinafungwa kabisa unakuta nyanya, vitunguu,viazi n.k ndio vimetandazwa chini barabara haipitiki! Halafu bado kuna watu wanatetea! Hivi miaka ya nyuma kulikuwa hamna machinga!??Mjini Kampala ukienda luwum street utaamini hili
Machinga wanajiunga wanne mpaka watano wanakodisha frame ila ndani ya fremu kila mtu anauza chake
Pia hapa Tanzania
ifike mahali machinga waungane wakodi fremu na sio kuhodhi brbr za watembea kwa miguu
Wapi tunafeli kuwapanga machinga kila wakati makundi ya machinga yanaongezeka
Tusitumie nguvu kubwa kuwapeleka kwenye masoko la hasha wapewe elimu ya namna ya kupanga frame kwa watu wanne watano ili nao walipe kodi
Haya ni mawazo yako, hebu tuwasikie na wao huenda wana hoja zenye mashiko zaidi ya weweFremu leo zimedoda mikoa yote, ina maana Machinga wanashindwa kujiunga hata watatu watatu wakachukua fremu wakaripa Kodi?