mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Uhaini haupo pale.Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ,
tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia hivyo atachiwa huru ,
Kama mahakama itamkuta lisu na hatia na hivyo kumhukumu kunyongwa Kwa maneno aliyoongea jukwani, nini kitafuata? , Maswali ninayojiuliza 1 je CHADEMA watabaki na msimamo wao wa kutoshiriki mazungumzo yoyote na serikali 2. Je chadema watakubal kuzungumza Ili kumuokoa mwenyekiti wao na zahama ya kusota jela
Ni nini kitatokea iwapo CHADEMA wamegoma na wamebaki na huo msimamo walionano Sasa wa kutoshirikiana na serikali ya CCM, majibu ni simple Tu nchi hii itakuwa tayari imengia matatani na kwenye mkwamo mkubwa Sana ( you can't underestimate position ya CHADEMA, Kwa Sasa chadema ndicho kinaweza kutugawa watanzania nusu Kwa nusu kama zilivyo dini za uslamu na ukristo ama timu za Mpira za simba na yanga.
na kama hukumu ikawa ni lisu Hana hatia hivyo atachiwa na akirudi mtaani atakuwa strong than ever , kwenye siasa za nchii hii atakuwa ni monster, faida itakuwa Kwa chadema hawataenda kwenye meza ya mazungumzo kinyonge Tena watakuwa na hoja na hoja zao zitakuwa na nguvu.
Kwa upande wa Sheria hukumu inayosema lisu ni mhaini itakuwa imetengeneza precedent ya hovyo Sana itakapotumika Kwa siku zijazo , judge ndunguru na wenzake wataonekana kwenye record kama watu wa hovyo Sana. ,
Kwa kizazi chetu, hukumu ya lisu itaweka kizazi chetu katika vizazi vya hovyo zaidi kutokea Tanzania, itakuwa ngumu kuwahukumu watanzazania wa zama za utumwa na ukoloni na sisi, eti mfumo mzima wa utawala na vyombo vyote vya dola vipo Kwa akili ya kulinda na kuwatetea wachache zidi ya waliowengi, swali la vizazi vijavyo watakuwa wanajiuliza Ilikuwaje wengi walishindwa na walifanywa chochote na wachache , the same sisi tunajiuliza Ilikuwaje enzi za ukoloni na utumwa weusi waliokuwa wengi walishindwaje kunganika na kupambana na mkoloni ,
Kiufupi hii ni kesi ya kisiasa, siasa inahitajika ijibiwe kisiasa, bahati mbayA Sana wanasiasa wenye mamlaka wameshindwa kufanya siasa na mbayA zaidi wanatumia dola na vyombo vyake kufanya siasa ,matokeo yake ni kesi za ajabu kama hizi ambazo hazikutakiwa kuwepo, sijaona ushahidi wa serikali kuwa lisu alifanya uhain
Haujaeleweka!Mashahidi upande wa respondent wasen■ tu hawana lolote mazafanta wanaonekana wamepangwa
Kinachosubiriwa Sasa kwenye kesi ya lisu ni 1.submission na lisu alishasema atafanya oral submission tarehe 23/9/ 2027 2. Hukumu, hili la hukumu litafuata soon TU baada ya final submission ,
tutegemee hukumu ya aina gani ni ether lisu anahatia hivyo atahukumiwa kunyongwa ama lisu Hana hatia hivyo atachiwa huru ,
Kama mahakama itamkuta lisu na hatia na hivyo kumhukumu kunyongwa Kwa maneno aliyoongea jukwani, nini kitafuata? , Maswali ninayojiuliza 1 je CHADEMA watabaki na msimamo wao wa kutoshiriki mazungumzo yoyote na serikali 2. Je chadema watakubal kuzungumza Ili kumuokoa mwenyekiti wao na zahama ya kusota jela
Ni nini kitatokea iwapo CHADEMA wamegoma na wamebaki na huo msimamo walionano Sasa wa kutoshirikiana na serikali ya CCM, majibu ni simple Tu nchi hii itakuwa tayari imengia matatani na kwenye mkwamo mkubwa Sana ( you can't underestimate position ya CHADEMA, Kwa Sasa chadema ndicho kinaweza kutugawa watanzania nusu Kwa nusu kama zilivyo dini za uslamu na ukristo ama timu za Mpira za simba na yanga.
na kama hukumu ikawa ni lisu Hana hatia hivyo atachiwa na akirudi mtaani atakuwa strong than ever , kwenye siasa za nchii hii atakuwa ni monster, faida itakuwa Kwa chadema hawataenda kwenye meza ya mazungumzo kinyonge Tena watakuwa na hoja na hoja zao zitakuwa na nguvu.
Kwa upande wa Sheria hukumu inayosema lisu ni mhaini itakuwa imetengeneza precedent ya hovyo Sana itakapotumika Kwa siku zijazo , judge ndunguru na wenzake wataonekana kwenye record kama watu wa hovyo Sana. ,
Kwa kizazi chetu, hukumu ya lisu itaweka kizazi chetu katika vizazi vya hovyo zaidi kutokea Tanzania, itakuwa ngumu kuwahukumu watanzazania wa zama za utumwa na ukoloni na sisi, eti mfumo mzima wa utawala na vyombo vyote vya dola vipo Kwa akili ya kulinda na kuwatetea wachache zidi ya waliowengi, swali la vizazi vijavyo watakuwa wanajiuliza Ilikuwaje wengi walishindwa na walifanywa chochote na wachache , the same sisi tunajiuliza Ilikuwaje enzi za ukoloni na utumwa weusi waliokuwa wengi walishindwaje kunganika na kupambana na mkoloni ,
Kiufupi hii ni kesi ya kisiasa, siasa inahitajika ijibiwe kisiasa, bahati mbayA Sana wanasiasa wenye mamlaka wameshindwa kufanya siasa na mbayA zaidi wanatumia dola na vyombo vyake kufanya siasa ,matokeo yake ni kesi za ajabu kama hizi ambazo hazikutakiwa kuwepo, sijaona ushahidi wa serikali kuwa lisu alifanya uhain
Lissu hatautambua huo msamaha maana immediately atakata rufaa ili mahakama itoe hukumu huo msamaha utakuwa wakwake na genge lake.Hukumu ilishaandikwa muda mrefu, Lisu atakutwa na hatia. Mama atapata pakutokea kujifanya anatoa msamaha siku ya uhuru wa Tanganyika. (9 December)
Na huenda jamaa akaja kuruka na Jaji Ndunguru, huyu jaji kaonesha upuuzi mkubwa.Lissu hatautambua huo msamaha maana immediately atakata rufaa ili mahakama itoe hukumu huo msamaha utakuwa wakwake na genge lake.
Watajisumbua.Huja soma tu mchezo,
wanataka lisu ahukumiwe ili asigombere nafasi yeyote. Atahukumiwa atakaa kama mwezi HIVI rais atatangaza msamaha