Macho yangu yananidanganya?

Mwizi, muuaji huyu hana lolote
 
Unamaanisha watu wote wanaofika msibani huwa wanampenda sana marehemu?

Jichunguze ndugu , naweza kukupa sumu ukafa na bado msibani nikatinga tena nalia hasa

Upendo haufichiki na hudhihirika uwapo hai , ukiona watu wanakuchukulia kawaida ukiwa hai ujue hawakupendi ila ukifa ubinadamu wao hujidhihirisha.

Eg tuseme hiyo ni ishara ya kupendwa basi
Sasa mbona uchaguzi figisu zilikuwa za kimataifa? Za nini kama unajua unapendwa kwa kiwango cha juu?

Kimahesabu
Uwanja wa uhuru unaingiza watu elfu 23 , hebu tuseme wameingia watu elfu 23 hawa ni sawa na asilimia 0.38 ya wakazi wa jiji la Dar sasa hii ni idadi ya kukutisha kweli? [emoji23][emoji23] that means wananchi takriban i Milion 5,977,000 hawakuwepo uwanjani ,hawa wanampenda nani kwa mtazamo wako? Na kama waliofika ndiyo wanaompenda mbona wanaomchukia ni wengi zaidi maana kimahesabu anachukiwa na 99.78 ya wakazi wote wa jiji la Dar.

Rudi shule ndugu
 
Sasa hata kama anapendwa yuko wapi? Nyie wajinga mbona mnazidi kujiaibisha kiasi hiki?
Wasukuma mtalia sana safari hii
Nenda kampigie kura basi
Hongera kwa kutoka na zawadi ya korona ikutafune
Heal brother, Heal, Do not be this bitter: Rise above it man.
Ndiyo Raisi Magufuli mengi aliyokosea sana, mimi binafsi na familia ni wahanga wa Mzee wetu yule.
Lakini tufike mahali tuchukuliane na tufahamu kwamba we have a nation of almost 60 million people to build.
 
Mtalopoka yote... Mungu ndio kaamua kututolea ghasia
 
Kama analiliwa na masikini na wanyonge then wewe unakuja kusema akina Lisu walidhani watz hawana akili basi wewe una shida kubwa mno ya kifikra na kimtazamo ,nasema hili kwa kuwa
"Mtu masikini ni mjinga kwa asilimia kubwa maana ameshindwa kuzitumia rasilimali zinazomzunguka kuwa tajiri na kuuacha unyonge huo "
 
Mbona hiyo ni kawaida tu. Hata Marehemu Kanumba nyomi ilikuwa ni kama hivyo tu.

Halafu kwenye misiba huwa wanahudhuria watu wote hata wale wabaya wako watakuja kuhakikisha kama umededi kweli ili wasuuzike na roho zao.
Kanumba aliimba "Hata wale wanaonichukia watabeba jeneza langu "

Ni kwa kuwa mtoa post anajisahaulisha

Hata msiba wa jambazi watu hujaa
 
Mwizi, muuaji huyu hana lolote
Mkuu, I can relate to your anger and frustrations: But this cannot be the way forward for healing and reconciliation.
And denying the fact that he had some positive inputs for TZ, is against common precepts of decency.
Heal brother and Let bygones be bygones: Maisha bado yanaendelea.
 
Mkuu nyomi isikutishe,Rais ni cheo kikubwa sana ,Kumbuka waTZ waliimizwa kusimama kwenye barabara ,kuna sehemu nyingi tu walikuwa wanachukuliwa na mabasi free ,bado nyomi haiwezi kufanya conclusion.

Kuna jamaa akiniambia watu kitaa wanakunywa pombe kinoma baaada ya kusikia MEKO kakata kamba.

Wapo walioguswa na wapo pia waliofurahi.
 
Alililiwa na watu ambao walikuwa wanahesabu mazuri yake. Kwani unafikiri iddi amin alikuwa katiri kwa kila mtu?

Wapo wanaomuona shujaa kama ambavyo osama anavyoonekana shujaa kwa watu wengine
Kifo cha OSAMA niliumia sana japo nilimfahamu kwa kazi ya kulipua majengo na kuua watu.

Mola anisamehe
 
Watu wanapenda matukio!

Ni rahisi kumanipulate mass kupitia bombardment ya habari za huzuni nonstop!

Serikali na machinery yake, Chama, na ushirikiano wao na wasanii na media inaweza kutumia propaganda techniques kuwakusanya watu idadi inayotaka
Duh wewe umeongeza kitu kikubwa sana aisee big up
 
Si vizuri sana kulinganisha kwa vyovyote watu wtaenda. Tusije kufanya hesabu ya walioenda na wasioenda. Watu wameenda, watu wzmeguswa basi, watu wamesikitika.
Sio kujisifu maana tunajisahau kutahadharisha watu kuhusu korona kisa tunataka kipoma mapenzi ya watu
 
Kea upande upo sahihi lakini pia kwa upande upo sawa, kumbuka hapo wengine ni sehemu ya mtoko, wengine wanaoenda kupoteza muda, wengine kushangaa, wengine kuibia wenzao n. K
Lakini hakuna mtu anamchukua Magufuli Ila tunachukia baadhi ya matendo yake, sio kwamba alikuwa devil 100% ,alikuwa na mazuri yake.

Lakini hiyo nyomi ni sawa na ya Mkapa na wengineo, hakuna rais atakufa watu wasijae, Lakini sio kwamba watu wanamchukia, au Mimi nadhani nakuza neno kuchukia, kuna tofauti ya kuchukia mtu na kutofautiana nae , huku mtaani kuna watu wengi tunapishana nao hadharani au sirini lakini haimaanishi msibani kwao hatutaenda.

Huo ni msiba wa kitaifa kwa hiyo hiyo nibhaki yake kuujaza watu, hata Mimi ningekuwa mtaani kwangu Keko ningeenda hapo uhuru tena kwa mguu tu, ila sio kwamba nilimpenda magu lakini pia sikumchukia. Neo CHUKi ni ziti Sana, kufananisha na msiba, tena wa kitaifa. Ndio maana hata CDM wamehudhulia msiba
 
Why didn't you cry for reconciliation when he was killing, detaining, doing extortion and impoverishing people at the pleasure of his animosity?

Please buddy, save your breathe! Let this tasteless carcass rot in hell.
 
Waliomchukia ni kuduchu sana,wengi tulimpenda.
Labda ni mgeni kwa watanzania,kujaa wanapoona kitu wao ni kawaida mara ngapi hujaa linapoanguka gari la mafuta na wanakufa likilipuka...wengine sio wanaenda kuzoa mafuta hapana ni kushangaa tu,so ukiwaelewa wabongo hili halitakushangaza hakuna cha mapenzi wala nini?
 
Ni wanafiki nambari moja duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…