Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #501
Magufuli ni mtu ali resonate sana na watu wa kawaida.That's the truth. Sisi wananchi wa kawaida, walalahoi, makapuku tulimpenda sana kwa sababu alikuwa anatusemea, anatusikiliza, alitamani kuona shida zetu zinatatuliwa. 'Elites' na wapiga porojo za kisiasa ndio hawakumpenda
Kuna mahala nimesema nilitaka kuwepo na vurugu?Ulitaka kuwe na vurugu ili iweje?
Huwezi kupendwa ukiwa maiti.Wingi wa watu kwenye msiba,tena mjini kulikojaa majobless ni kitu cha kawaida sana.
Kumbuka kuwa gari la matangazo lilipita kila eneo kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi kwenye uwanjani na barabarani.
Msiba ukipigiwa debe ni dalili mbaya.
....and????Hizo chuki! Tatizo la matusi ya jumla kama hili kwa wanawake, ni kwamba wote tumezaliwa na wanawake. Mama zetu, dada zetu, shangazi, nk. Wote watapita hapo kwenye menopause, kama Mungu atawapa umri.
Wamachinga nao ni binadamu. Ni Watanzania.Zipo sababu nyingi za nyomi unayoizungimzia:
1. Wengi ni watu wamachinga walioruhusiwa kufanya biashara kiholela kila mahali. Wanalia, hawajui hatma yao
2. Wafanyabiashara wengi sehemu wanayofanyia biashara ni barabarani huko huko anakopitishwa
3. Nyomi uwanjani ni uthibitisho pia wa watu wengi wasiokuwa na kazi hivyo kuwa na muda wa kutosha kwenda kuaga
4. Hizi siku mbili jana na leo ni weekend na kesho imetangazwa kuwa mapumziko
5. Wapo wengi ambao pia walimpenda kwa dhati kama mtetezi wao kwa matumaini ya kuja kutoka.
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Observation:Hawa wama ni wale walioona wanazinguliwa kuingia wakatafuta njia zao kuingia ndani.
Bbc na dw hawawezi onyesha hizi. Sana sana watasema mama huyu alikua anakimbia polisi asipigwe...wron information.
Kile kiuwanja pale "Uhuru", ujazo wake sio zaidi ya 30,000.Hata Trump ana wanaompenda wengi sana...
Hili la natural death nalo linaniwazisha sana hii kitu nimekataa kukubali kabisaMisimamo yake ya kulipenda taifa na kusema ukweli. I don't believe kama hii is his natural death, rogue elements within and abroad might be behind this dire circumstance, completely a big blow kwa taifa
Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!
Sasa hata kama anapendwa yuko wapi? Nyie wajinga mbona mnazidi kujiaibisha kiasi hiki?
Karma vs 16bulletsWatanzania wametuma salamu tu...I hope zimewafikia
furaha yako ijitenge na jambo jingine maana huna uhakika na unayowaza.Sidhani kama mama Samia ataendesha ule wizi wa kura wa 2019 na 2020, kuhonga wapinzani, na kuminya wapinzani ili ccm ishinde. Kwa maana hiyo nafurahia kutokuwepo kwa Magufuli uchaguzi wa 2025
Yaani uonee wivu nzi kuzunguka kinyesi?Eti ufipa wanamwonea wivu marehemu kuagwa
Unajitoa akili kuhusu uchaguzi wa nchi hii husivyo huru sio.. nikuache na uto wako kichwani.Simlijifanya mnalinda kura sasa na makamanda wenu sasa mnalalamika nini?
Nyinyi mnachotafuta ni domokras,inamaana kila eneo walikimbia na masanduku ya kura simliweka wawakilishi wenu
Njaa inawasumbua na kutaka kushiba pasipokufanya kazi mle kupitia majukwaa tu