Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #501
Magufuli ni mtu ali resonate sana na watu wa kawaida.That's the truth. Sisi wananchi wa kawaida, walalahoi, makapuku tulimpenda sana kwa sababu alikuwa anatusemea, anatusikiliza, alitamani kuona shida zetu zinatatuliwa. 'Elites' na wapiga porojo za kisiasa ndio hawakumpenda
Hata alipokuwa akiongea, alikuwa anaeleweka.
Anaongea kama mtu wa kawaida tu.
Anaongea kama Baba Frida wa pale karibu na kwa Mangi.
He is and will always be the people’s president.