Macho yangu yananidanganya?

Macho yangu yananidanganya?

That's the truth. Sisi wananchi wa kawaida, walalahoi, makapuku tulimpenda sana kwa sababu alikuwa anatusemea, anatusikiliza, alitamani kuona shida zetu zinatatuliwa. 'Elites' na wapiga porojo za kisiasa ndio hawakumpenda
Magufuli ni mtu ali resonate sana na watu wa kawaida.

Hata alipokuwa akiongea, alikuwa anaeleweka.

Anaongea kama mtu wa kawaida tu.

Anaongea kama Baba Frida wa pale karibu na kwa Mangi.

He is and will always be the people’s president.
 
Ulitaka kuwe na vurugu ili iweje?
Huwezi kupendwa ukiwa maiti.Wingi wa watu kwenye msiba,tena mjini kulikojaa majobless ni kitu cha kawaida sana.
Kumbuka kuwa gari la matangazo lilipita kila eneo kuhamasisha watu wajitokeze kwa wingi kwenye uwanjani na barabarani.
Msiba ukipigiwa debe ni dalili mbaya.
Kuna mahala nimesema nilitaka kuwepo na vurugu?
 
Hizo chuki! Tatizo la matusi ya jumla kama hili kwa wanawake, ni kwamba wote tumezaliwa na wanawake. Mama zetu, dada zetu, shangazi, nk. Wote watapita hapo kwenye menopause, kama Mungu atawapa umri.
....and????
 
Uzushi wa kingese Sana huu, kila ck nasema kile chama n genge la wahuni tena wasiye na akili,hii siyo kampeni na mtu anaagwa na waliye ona mchango wake kwao nyie mmeanza poyoyo hovyo,watu wapewe maagizo wayapokee ili iweje, nina marafiki zangu kibao Leo hii wapo njiani kuelekea Dodoma kutoka mikoa ya kaskazini na kusini na wote wameguswa na kifo Cha Rais wao,Ww n miongoni mwao walewale wanafiki ambao mtu akiwa mzima humtambui kama kiongozi but akifa ama akiumwa ndiyo anakuwa kiongozi wako,ndiyo maana bwana Yule kachaguliwa na jamaa zake kuwa mwakilishi wa Magasho
 
Zipo sababu nyingi za nyomi unayoizungimzia:
1. Wengi ni watu wamachinga walioruhusiwa kufanya biashara kiholela kila mahali. Wanalia, hawajui hatma yao
2. Wafanyabiashara wengi sehemu wanayofanyia biashara ni barabarani huko huko anakopitishwa
3. Nyomi uwanjani ni uthibitisho pia wa watu wengi wasiokuwa na kazi hivyo kuwa na muda wa kutosha kwenda kuaga
4. Hizi siku mbili jana na leo ni weekend na kesho imetangazwa kuwa mapumziko
5. Wapo wengi ambao pia walimpenda kwa dhati kama mtetezi wao kwa matumaini ya kuja kutoka.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Wamachinga nao ni binadamu. Ni Watanzania.

Utu wao uko sawa na utu wa watu wa kada zingine.

Wanamlilia shujaa wao.

Kwa hilo nawaunga mkono.
 
Mpaka bodaboda wanavyalishwa sare, unadhani kuna masihara hapo?

Asiyeona uigizaji huo atakuwa ana chongo.

Tunapowaeleza CHADEMA kwamba ni lazima kujichimbia huko mitaani wasidhani ni utani. CCM muundo wao unawabeba sana, sio kwenye uchaguzi/uchafuzi tu bali hata kwenye maswala kama haya.
 
Wingi wa watu haina maana ya kupendwa, inaweza ikamaanisha mambo mengi: Kwenye kifo binadamu tunasukumwa zaidi na utu-hivyo umati huo uliouona siyo wa waliompenda pekee. JPM alikuwa Rais wa Watanzania wote- waliompenda au kinyume chake,je, kuna shida kwa wasiompenda kwenda kumuaga?
 
Hawa wama ni wale walioona wanazinguliwa kuingia wakatafuta njia zao kuingia ndani.
Bbc na dw hawawezi onyesha hizi. Sana sana watasema mama huyu alikua anakimbia polisi asipigwe...wron information.
Observation:

Akina mama ni wengi?

Mbona kila mmoja kabeba chupa ya maji, walikubaliana kabla kwamba ni lazima wabebe maji, au kun a mtu au kundi limefadhili?

Boda boda walijipanga kweli mpaka wote wakawa na sare kimiujiza; au na wao walipangwa kuwepo kwenye tukio.

Mengi tutayaona na kuyasikia kabla ya msiba huu haujafikia mwisho wake.
 
Hata Trump ana wanaompenda wengi sana...
Kile kiuwanja pale "Uhuru", ujazo wake sio zaidi ya 30,000.

Hao waliopo hapo sio zaidi ya 50,000, lakini unaona wenye upofu wa macho wanaojibaragua kwamba wao wanamacho makali sana wanaona wingi huo ni kama milioni tano!
 
Kwa Bongo hii iliyo jaa majobless kibao,wingi wa watu sio hoja,watu wanachukulia tukio kama Hili,some kind of amusement,wanaenda kupoteza muda,wajisahaulishe magumu ya maisha wanayopitia.
Kifo pekee kilichosikitisha Watz ni Cha Nyerere,
Huyu jamaa,wapo watu wamesheherekea kifo chake,na wapo ndani sasa hv.
Wapo waliompenda Tena wengi tu.
Lakini huwezi kulinganisha huu msiba,na msiba wa Ruge,hata kifo Cha kanumba kilisikitisha sana.
 
Walomchukia ni wachache sana wakiongozwa na watumishi wa uma has a walimu na wafanyabiashara wa kubwa ila sisi wanyonge hasa wamachinga na wamama tulimpenda sana ambalo ndo kundi kubwa la wananchi
Magufuli lala salama Umejua kutuliza.
 
Misimamo yake ya kulipenda taifa na kusema ukweli. I don't believe kama hii is his natural death, rogue elements within and abroad might be behind this dire circumstance, completely a big blow kwa taifa
Hili la natural death nalo linaniwazisha sana hii kitu nimekataa kukubali kabisa
 
Watanzania hatutaruhusu vibaraka kutawala nchi hii
Mimi mwenyewe nilienda Uhuru jana kumuangalia ili nijiridhishe akifa anafananaje? Kwa kule kujimwambafai naachaje kwenda kumuona. Yani nilitaka tu nijue akifumba macho anakuwaje mwamba yule!
 
Sidhani kama mama Samia ataendesha ule wizi wa kura wa 2019 na 2020, kuhonga wapinzani, na kuminya wapinzani ili ccm ishinde. Kwa maana hiyo nafurahia kutokuwepo kwa Magufuli uchaguzi wa 2025
furaha yako ijitenge na jambo jingine maana huna uhakika na unayowaza.
 
Simlijifanya mnalinda kura sasa na makamanda wenu sasa mnalalamika nini?

Nyinyi mnachotafuta ni domokras,inamaana kila eneo walikimbia na masanduku ya kura simliweka wawakilishi wenu

Njaa inawasumbua na kutaka kushiba pasipokufanya kazi mle kupitia majukwaa tu
Unajitoa akili kuhusu uchaguzi wa nchi hii husivyo huru sio.. nikuache na uto wako kichwani.

Wanaong'ang'ania madarakani sio njaa zao ni nini.. Au wao hawapandi majukwani..?

Wewe ukitakaka kula ni sawa.. Ila mimi nikitaka kula ni ulafi ? ..

Jinga sana wewe ndugu yangu
 
Back
Top Bottom