Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

n

nakushauri uchukue subaru forester toleo la mwaka 2010,,,iko poa sana hutojutia bei yake ni kuanzia mil 28 kwenda juu
Hata mimi nina ndoto hiyo,,,vipi ulaji wa mafuta na upatikanaji wa vipuli hiyo ya kuanzia 2008 ukilinganisha na rav4 kili time hizi za kuanzia 2001 vvi?
vs
 

Na mimi ndio ndoto zangu, Subaru is the only way to Go....Mungu atujalie tupate haja ya mioyo yetu... WELCOME TO TEAM SUBARU,

currently niko hapa chini, Legacy, 2000cc, MT, Non turbo, inshaalaah Mungu akinijali nahamia hapo juu kwenye forester

 
Mbona umepost picha ya kutoka maktaba badala ya hiyo unayomiliki.....au na weww ni day dreamer?!
 
Mbona umepost picha ya kutoka maktaba badala ya hiyo unayomiliki.....au na weww ni day dreamer?!

wakat napost hiyo msg sikuwa na access ya picha ya gari ndo maaana nikachukua ya maktaba kuonyesha mfano
 
gari nzuri nimeitumia toka 2010 nilianza na sf9 mpaka sasa niko na SG5 cross sport. inahimili shida iko na nguvu designed for off road.
spares zipo siku hizi japo bei ya spare sio km ya corolla.
Swahiba vp ulaji wa mafuta,watu wanasema inabugia balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…