Reason:
- Napenda gari yenye kasi na stable
- Ni imara
- Ina options zote comfortability na sporty
- Ni SUV ina nafasi kubwa ndani
- Body shape yake inavutia kuanzia mbele, ubavuni na nyuma
- BOV Sound ndio ugonjwa wangu
- Manual Transmission with turbo ndio favourite choice
- Iwe kwenye lami au vumbi kote inapeta tu
Nimekuwa na ndoto ya kumiliki gari hii kwa muda mrefu...so nimeamua kuiwekea dream hii katika plan, ninadunduliza kidogo nikipatacho na Mungu akijaalia mwakani ninayo.
View attachment 548937 View attachment 548938