Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Tugari twa graduates na hii itakuwa your first car....na wewe bado mtoto.
 
Ila Subaru Legacy ule muundo wake inanivutia sana!!.. Nitagongea kwa hearly
 
Haya magari kwa SAFARI ndefu inatakiwa uwe makini maana kadri unavyokanyaga mafuta ndipo gari inazidi kutulia....
Subaru ni gari nzuri sana kwa safari za mikoani lakini kwa DAR itakubidi utumie mafuta mengi kuliko safari ndevu
 
Karibu kwenye Familia ya Subaru!!!

Mimi nimetumia haya magari ya toyota kama aina tatu... ila nina miaka 9 natumia subaru sijawahi kujuta hata siku moja.. ,Mtu asikudanganye kwamba inakula mafuta sana sijui spare bei gali hapana...

>>Muulize mafuta inakula sana ukilinganisha na gari gani?
>>Na bei ya spare anayosema ni ghali je ukilinganisha na spare za gari gani na je spare hizo ni original au used au feki?

...>>>>KILICHO KWELI NI KUWA SUBARU SIO KILA FUNDI ANAWEZA KUITENGENEZA ZINA MAFUNDI WAKE...kama ilivyo Magari mengine imara :.Mfano :- Benz, Bmw, na N.K.

So usiogopeshwe na wanaoziponda subaru wakati hawajawahi miliki wala kutumia...


NB: Subaru sio gari ya kila mtu ila ni gari bora sana ukilinganisha na magari mengi yanayotumika hapa Tanzania..

SIFA CHACHE ZA SUBARU
  1. Subaru ni gari imara na spare zake ni zauhakika ukifunga umefunga
  2. Ni gari yenye uhakika wa safari ukiamua kwenda kokote unakwenda huna wasiwasi kwasababu nyingi 4WD.
  3. Kama unapenda speed basi utaifurahia kutoka 0-100 kph ni less than 10 sec. mpaka unafika top speed haitazidi 30sec kwa subaru iliyo vzr
 
Subaru ni zaidi ya gari aisee zaidi ukipata yenye turbo
 
Subaru hawana 4WD boss bali wana AWD.
 
mkuu nakuombea umiliki ili angalau uniperaundi
 

Hii ni kutokana engine zake kutumia mfumo wa boxer engine hii kitu ni hatari sana kwa fast acceleration
 
hiyo picha umeitoa wapi..subaru hazina 4wd bali zina Awd which is more efficient than 4wd
ingia kwenye soko lolote la magari halafu cheki specification za subaru forester ya mwaka wowote utakuta ndio hivyo mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…