Habari ndugu zangu ni siku nyingine tena leo tunakutana kwaajili ya kupeana maujuzi
yale mungu aliyotujaalia leo tuzungumzie hili juu la ku-unlock l modem yoyote bila ya kutumia software fuatana nami mpaka
mwisho wa makala hii
Zamani ilizoeleka ku-unlock Modem hadi udownload Software kwenye Pc yako kisha ya watu ndo waweze kugenerate MODEM
UNLOCK CODE. Lakini kwa sasa imekuwa rahisi kwa sababu kuna tovuti kibao ambazo zinatoa MODEM UNLOCK CODE ambayo wewe unahitajika kutoa IMEI ya
MODEM tu.
Hatua za ku-unlock Modem
1.Angalia IMEI ya modem yako kisha iandike chini au kwenye karatasi
2.Fungua link hii
A-ZGSM.COM - ONLINE UNLOCK CODE CALCULATOR
3.Baada ya kufungua hiyo link utaonasehemu ya iliyoachawa wazi hapo uwekaIMEI ya Modem kisha utabofya kwenyekitufe cha CALCULATE
4.Baada ya ku-calcute utapata Unlock Codezako, Mfano: Unlock: 37661250 or NCK =
37663240
Hatua zinazofuata
1.Baada ya yote unatakiwa kutoa Sim card
na Kuweka Sim Card tofauti kwa mfano
kama ulikuwa unatumai ya Tigo unatakiwauweke Airtel kisha chomeka kwenye PC
yako .
2.Subiri kidogo , utaona Pop Up imekujakisha itaku-request for Unlock Code, KishaUtaingiza Code ulizo Generate , mfano
37661250 alafu click kwenye OK.
3.Hongera!, Modem yako isha-unlockiwahapo utaweza kutumia kwenye Sim Card Yoyote!
Note:
Njia hii ni kwa Modem za Huawei tu
Kwa habari mbalimbali za teknolojia maujanja......Tembelea
BONGO TECHNO