Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mkuu nawezaje ku unlock huawei modem ya airtel e3531 ambayo haiinstall siftware ila ukichomeka kwa pc inadisplay info zake kwenye browser
 
Mkuu nawezaje ku unlock huawei modem ya airtel e3531 ambayo haiinstall siftware ila ukichomeka kwa pc inadisplay info zake kwenye browser
Je unapokuwa umeweka laini tofauti ni maelezo yapi hasa yanajitokeza?
Je inaomba codes au?
 
Je unapokuwa umeweka laini tofauti ni maelezo yapi hasa yanajitokeza?
Je inaomba codes au?
Mkuu inaonekana airtel hizi modem wameziblock kiaina sababu nikiweka line tofauti inadisplay " zero attempts remained" kwamba walijaribu kuweka unlock codes mara zote
 
Ni huawei wingle wifi za Airtel hizi mpya.. Inatumia browser kuiconnect..
Model yake ni: E8231
Imei:867638020583406
Ukiweka lain tofaut inadai SIMLOCK CODES...msaada plzzzz
Chaajabu nikiweka different simcard inaonyesha 0 attempts remaining wkt nimeifungua mwnyewe jana, dc-unlocker inagoma!
Mafundi wanaJF msaada wenu!
 
Je anaye weza ku unlock wife ile ya voda nani anawezaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…