Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

IMEI: 867638020583406
Unlock : 51671359 or 20722254 or 37152992
Flash: 61021378
solution ni kubadili firmware hapo kwako upgrade firmware ina 80mb
naweza pata download link ya hiyo firmware?
 
Wakuu vipi tunaweza kuunlock zte modems

Ninayo moja hapa model: mf 710m
 
na je hiyo firmware inaingia kwenye modem nyinginezo hata kama sio E303?
 
Natumaini mko poa wan JM naomba msaada wa kuunlock iyo moden e303 ya huawei inasoma VODACOM
 
wakuu.
vipi kuhusu ku-unlock modem ya vodacom zte k3772-z

anayejua hii mambo
 
aise msaada na me modem e 303 huawei ya voda na me nafanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…