Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Watakuja wapo kwenye nyuz za mapnz kwanza..
 
Niko na modem za kampuni ya huawei 2 lakin zote ziko unlocked. Zinatumia line moja tu.
mwenye kujua namna ya kuunlock tafadhali naomba msaada wako
Sijakuelewa kijana kwamba zote 2,,, ziko Unlocked!?
 
huawei model gn? km zpo unlocked wataka ziwe locked mtandao gn?
 
kuna thread hapa zinaelekeza hya mambo jaribu kutafta ukishindwa tutafahmishana njia
 
Found modem : E3372
Model : Huawei E3372h
IMEI : 866850028947449
Serial NR. : Y4QDU17510000928
Firmware : 22.323.01.00.555
Compile date / time : Apr 14 2017 11:48:41
Hardware ver. : CL2E3372HM
Dashboard version : WEBUI_17.100.17.00.555_HILINK
Web UI version : WEBUI_17.100.17.00.555_HILINK
SIM Lock status : Locked (Card Lock)
Wrong codes entered : 3 (unlock attempts left : 7)
 
nenda kwenye facebook official page ya TTCL Tanzania watakusaidia...
 
Jaribu kucheki link hiyo hapo -> Huawei E3372 LTE modding, nilitumia kwangu ku-unlock modem ya tigo 4g ambayo ipo activated sa hv kwa line zote. Ingawa naona software version ya modem yako ni mpya kuliko ya kwangu (Soft. Ver 22.200.09.00.787), kwa hyo kama ikifaili jaribu kudowngrade kwanza kwenda firmware ya 22.200.09.00.787 then ukiunlock itakubali
 
Back
Top Bottom