Kuchakachua modem za Zantel ni ngumu sana. Hawa jamaa kweny upande wa modem wamebana sana
Nothing is impossible because even impossible itself says am possible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchakachua modem za Zantel ni ngumu sana. Hawa jamaa kweny upande wa modem wamebana sana
Mr ni rahisi sana kuchakachua modem za makampuni km Vodacom, Tigo na Airtel lkn Zantel hii ni kitu kingine kbsa ni sawa na simu za Iphone na Icloud yake.Nothing is impossible because even impossible itself says am possible
Kuna modem ambazo hazileti hiyo option
ulifanyaje mkuu nipe mwongozo basi mkuu wanguRiziki ya mbwa ipo miguuni kwake, finally imekubali
siwezi sema nakupa full procedure kwa maana mimi sio profession kwenye hizi mambo, nili jaribu kila firmware nilio hisi itawezafaa, nilitafuta firmware kwa kugoogle modem husika ambayo ni E8231s-1 nikaipata hapo (india) E8231s-1ulifanyaje mkuu nipe mwongozo basi mkuu wangu
Isiwezi sema nakupa full procedure kwa maana mimi sio profession kwenye hizi mambo, nili jaribu kila firmware nilio hisi itawezafaa, nilitafuta firmware kwa kugoogle modem husika ambayo ni E8231s-1 nikaipata hapo (india) E8231s-1
kisha nikatafuta Unlock code kwa kuingiza imei ya modem husika hapa New Algo | Huawei Unlock Code Calculator (New / Old Algo) hizo zitakusaidia pindi utakapo ombwa password baada ya kuirun hiyo Firmware ulioidownload mwanzo. NI RISK SANA KAMA HAUNA UJUZI WOWOTE, Kama kuna member wenye uelewa zaidi watashusha elimu fresh.
Usijali.yeah na mimi nimefanikiwa asante sana Jagood kwa kuazisha hii thread imekuwa msaada sana kwangu
namshukuru pia sana sana
Stonebank kwa msaada mkubwa ulionipatia
Kwanini usiweke solution hapa jukwaani Mkuu0766199244 ntafute nkusaidie
Anayetaka kufunguliwa Modem tajwa hapo juu anicheki...0766140561kama unajua jinsi ya ku unlock modem ya zantel 4G, iweze kutumia line zote, naomba maelekezo mkuu.
Mkuu kila modem ina njia zake za ku unlock hakuna njia moja kwa modem zote. Ungenza na model yake kisha ukasema ukieka line isio ya Airtel kitu gani kinatokea?Heshima makamanda wangu!
Ni Miaka kadhaa sijafika katika hili jukwaa, kuna modem ya airtel nataka itumie line zote nisaidieni maelezo na Program ya kutumia ku-unlock
Chief-Mkwawa
Asanteni
chief samahani kwa kudandia gari la watu lakini hata mimi nina shida hiyo Yangu ni HUAWEI E3372 yenyewe nilinunua TTCL SHOP Nikiweka laini tofauti inatokea kama LOCK screen hv ya kuingiza UNLOCK CODE na hapo ndio MWISHO.Mkuu kila modem ina njia zake za ku unlock hakuna njia moja kwa modem zote. Ungenza na model yake kisha ukasema ukieka line isio ya Airtel kitu gani kinatokea?
Mkuu samahani ni ya Halotel Model yake ni D6601Mkuu kila modem ina njia zake za ku unlock hakuna njia moja kwa modem zote. Ungenza na model yake kisha ukasema ukieka line isio ya Airtel kitu gani kinatokea?
Njia niliyopata mkuu ni ya dcunlocker,Mkuu samahani ni ya Halotel Model yake ni D6601
Jaribu hapa mkuuchief samahani kwa kudandia gari la watu lakini hata mimi nina shida hiyo Yangu ni HUAWEI E3372 yenyewe nilinunua TTCL SHOP Nikiweka laini tofauti inatokea kama LOCK screen hv ya kuingiza UNLOCK CODE na hapo ndio MWISHO.
Ningefurahi na kufarijika kama ningejua nini chakufanya mwanzo hadi mwisho kuhakikisha naweza UNLOCK.