Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

Nothing is impossible because even impossible itself says am possible
Mr ni rahisi sana kuchakachua modem za makampuni km Vodacom, Tigo na Airtel lkn Zantel hii ni kitu kingine kbsa ni sawa na simu za Iphone na Icloud yake.

Ni vizuri hayo maneno yako ungeweka na ushahidi kbs kwamba modem fulani ya Zantel tayari ushachakachua.

Ukileta nyuzi za kuomba msaada wa kuchakachua modem za Zantel watu wanapita pembeni.
jinsi ya ku unlock modem ya zantel ili uweze kutumia line yoyote
 
ulifanyaje mkuu nipe mwongozo basi mkuu wangu
siwezi sema nakupa full procedure kwa maana mimi sio profession kwenye hizi mambo, nili jaribu kila firmware nilio hisi itawezafaa, nilitafuta firmware kwa kugoogle modem husika ambayo ni E8231s-1 nikaipata hapo (india) E8231s-1
kisha nikatafuta Unlock code kwa kuingiza imei ya modem husika hapa New Algo | Huawei Unlock Code Calculator (New / Old Algo) hizo zitakusaidia pindi utakapo ombwa password baada ya kuirun hiyo Firmware ulioidownload mwanzo. NI RISK SANA KAMA HAUNA UJUZI WOWOTE, Kama kuna member wenye uelewa zaidi watashusha elimu fresh.
 
I
ATTEMPT REMAIN 1 nikiendelea alafu ikakataa nini kitatokea? ni lazima ubadilishe line ya airtell uweke nyingine

upload_2018-7-26_12-41-47.png
 
Ni rahisi sana kuchakachua hizi modem za D-link za zantel...kama ingekuwa Huawei kidoogo kaugumu kangekuwepo ila kwa D-link nakuhakikishia ni rahisi
Call: 0766140561 for Service
 
Heshima makamanda wangu!

Ni Miaka kadhaa sijafika katika hili jukwaa, kuna modem ya airtel nataka itumie line zote nisaidieni maelezo na Program ya kutumia ku-unlock

Chief-Mkwawa

Asanteni
 
Mkuu kila modem ina njia zake za ku unlock hakuna njia moja kwa modem zote. Ungenza na model yake kisha ukasema ukieka line isio ya Airtel kitu gani kinatokea?
 
chief samahani kwa kudandia gari la watu lakini hata mimi nina shida hiyo Yangu ni HUAWEI E3372 yenyewe nilinunua TTCL SHOP Nikiweka laini tofauti inatokea kama LOCK screen hv ya kuingiza UNLOCK CODE na hapo ndio MWISHO.

Ningefurahi na kufarijika kama ningejua nini chakufanya mwanzo hadi mwisho kuhakikisha naweza UNLOCK.
 
Mkuu samahani ni ya Halotel Model yake ni D6601
 
chief samahani kwa kudandia gari la watu lakini hata mimi nina shida hiyo Yangu ni HUAWEI E3372 yenyewe nilinunua TTCL SHOP Nikiweka laini tofauti inatokea kama LOCK screen hv ya kuingiza UNLOCK CODE na hapo ndio MWISHO.

Ningefurahi na kufarijika kama ningejua nini chakufanya mwanzo hadi mwisho kuhakikisha naweza UNLOCK.
Jaribu hapa mkuu
Huawei V201 Unlock Code Calculator
 
Back
Top Bottom