Kulima heka moja tsh, 30000 ?
Mbona link haifanyi kaziKaribuni ktk group la whatsapp linalohusu kilimo cha MIHOGO<br />Click link hii kujiung <br /><br />WhatsApp Group Invite
Hivi lile tangazo lako la kutafuta mume ulifanikiwa au bado?asante kwa sasa nimelima tena nyanya, na matikiti tena, nitaleta mejesho pia vikiwa tayari
samahani sana, sijawahi toa tangazo la kutafuta mume, na mm sio wa type hhizo, heshima itawaleHivi lile tangazo lako la kutafuta mume ulifanikiwa au bado?
Ashakum si matusisamahani sana, sijawahi toa tangazo la kutafuta mume, na mm sio wa type hhizo, heshima itawale
Mimi ni mkulima wa mboga mboga.Mmewahi Kulima.......??? au Mnakunywa CHAI Mjini tuu.....? Mwaka wa Kwanza nililima CHOROKO Soko likadorora.....mwaka wa Pili nikaenda Mbinga nililima TANGAWIZI nilipata gunia 200 Soko likawa hakuna mpaka nikaweka Uzi humu JF......!!!! Nikageukia kulima MBAAZI Tuliambiwa zitakuwa na Soko Kg 1 itakuwa Tsh 3500/= Looooo imekula Kwangu kilo Tsh 150/= wanunuzi hakuna.......Nimerudi Town naangalia Upepo kwanza.................KILIMO siyo Mchezo kulima kwenye Makaratasi aaaaaaaaaaaaaaa mbona Powa sana na Faida utapata na utasema KAZI ndiyo hii..........!!!!!
HONGERA SANA BIBIYE, WENGNE WACHA WAENDELEE KUUZA 'KITUMBUA'
then'ki yuuu...........Nimekuelewa mkuu
then'ki yuuu...........
HONGERA KWA KUNYWA CHAI......
NimekupmNIMELIMA ARUSHA, MAENEO YANAITWA NDURUMA, KWA WENYEJI WA ARUSHA WANAFAHAM KULE NDO MASHAMBA YALIPO