MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
Hili swali anatakiwa alijibu Massanda OMtima Massanda mimi nimemuuliza SOKO la MBAAZI anaeleza mambo ya kwenye Makaratasi na Makongamano tu...............!!!! TWENDE SOKONI ukiwauliza wapi? wanaishia kutoa MIMACHO tu...........!!!!Mi ningependa kufahamu kwa kua kidogo sasa una 'kauzoefu' ni changamoto zipi ulizokutana nazo katika uwekezaji wako?
samahani sana, sijawahi toa tangazo la kutafuta mume, na mm sio wa type hhizo, heshima itawale
Dodoma 20000huko ulipo, usitake kulinganisha nilipo na ulipo wewe, bei niliyo limia ndo hiyo, unataka nitaje ambayo sio ili iweje,
umeona eeeh, sasa mtu kazoea huko kwao 70000 anataka kulinganisha na nilipododoma 20000
hahaaa..uuyo hajatembea....xaxa next time pga mbegu inaitwa sugar queen.....ni hatar kwenye mauzoumeona eeeh, sasa mtu kazoea huko kwao 70000 anataka kulinganisha na nilipo
nimepanda SUKARI F1hahaaa..uuyo hajatembea....xaxa next time pga mbegu inaitwa sugar queen.....ni hatar kwenye mauzo
zote ni specie izoizo..apo ni goodnimepanda SUKARI F1
Angalia MJINI CHAI asije akakusikia! Mimi nilijaribu kumpongeza huyo bibie huyo bwana akanivurumishia mitusi mpaka nikatamani nikimbilie nymbani kwa JF!Kazi nzuri sana bibie big up
Sugar queen inauzwa na kampuni gan?hahaaa..uuyo hajatembea....xaxa next time pga mbegu inaitwa sugar queen.....ni hatar kwenye mauzo