Mada maalum kwa wanandoa

Anafanya masihara huyu jamani
 
Yes amsamehe mwenzake kama kajutia[emoji848][emoji848]....hakuna malaika hapa chini ya jua!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ingawa aangalie na kosa Witty kuna watu wana majaribu!

Kuna namfahamu karibu kila mara anamfumania mumewe akikaa kikao wananchi tunamuambia amsamehe basi anasamehe.

Kuna siku katuita kikao wananchi kumbe keshamfumania mumewe na housegirl mara kibao mbaya zaidi mumewe kampa mdogo wake ujauzito alichosema hata aje Nani hawezi msamehe.

Kama kosa si kubwa hamsamehe kwa moyo mmoja ila kama ni mazito aangalie moyo wake unaamua nini.
 
Dah aisee yaani hizo ulizoziorodhesha hapo ndio kero za ndoa yako? [emoji23][emoji23][emoji23] Nicheke tu kwa kweli.
Halafu unaishi kwaajili ya dini utapata taabu sana hapa duniani.

No, hizo ni changamoto ndogo ndogo sana na zinavumilika, kama nilivyosema kubwa humu ni kazi kuziweka wazi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chaguo lako hilo pambana nalo. Mara moja moja peaneni likizo
 
Dah unanyata kwa mkeo? Sipati picha jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ushafikiri uzeeni utaishi na nani? Hebu waone wazee wanavyoteseka wakibaki peke yao. Tuwaze na ya mbele pia

Natamani sana kuwa single ila kwa nilipofika siwezi rudi nyuma, ntavumilia lakini watu/mimi kuwa kwenye ndoa haimanishi kuwa kuko shwari. Wengi tunakutana na vitu ambayo hatukutegemea


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mrudiaji kosa simsamehi asee hata anijie na mbingu[emoji2958][emoji2958]....Hawa watu huwa hawabadiliki

Case ya Mane ni kama mume kafanya once na kaomba msamaha na anaonesha kujutia but kama ni ishu ya kila siku duuh asigeuze shingo....tabia ni kama ngozi cha kujifia na presha kisa mtu mwingine hapana asee...dunia tamu hata kialone alone tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndagha mama kuelewa yaan walinikomalia..point yao dhaifu kweli..oh ww dada msamehe huyu mumeo amejuta sana[emoji849]
Niliwahi kuwa na jamaa flan, alikosea analia Mpk machozi yaani lazima umuonee huruma umsamehe, baada ya mwezi anarudia same thing [emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wasanii
 
Maskini..madhara ya kumkimbiea ex hayo
 
Dah huyo kiboko
 
Dah unanyata kwa mkeo? Sipati picha jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya yanatokea sana, hasa unapokuwa na mke mwenye makelele. Japo wapo wale wanaofaidi ndoa yani kabla ya kwenda kazin unapata kiss na wishes kibao za hiyo siku + kurekebishwa tai, pande za huku ni hatari unazuga zuga mara akija kushtuka haupo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…