[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eee mwenzangu wakati nakua nilitamani sana kuja kuolewa tena na kabila hiloo nililoolewa nalo Mungu kanipa exactly nilichotaka sasa inabidi nivumilie panda shuka zoteee ili nivikwe taji siku ya mwisho
Hahaha hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We chizi sana mbona mm siipondi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu ni chaguo langu chaguo langu
Pole sana best!Eee mwenzangu wakati nakua nilitamani sana kuja kuolewa tena na kabila hiloo nililoolewa nalo Mungu kanipa exactly nilichotaka sasa inabidi nivumilie panda shuka zoteee ili nivikwe taji siku ya mwisho
Hahaaa mi staki presha bwanaa japo kuumia kupo ila usiumie sana mpeane makavu live siku ziendelee. Na ndo kuvumiliana hukooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani nipo wapi etiWewe ebu ingia kwenye ndoa kwanza mfyuuuu
Akhaaa ya kwangu napambana nayo mm mwenyewe yakinizidi nitakuja kwako kukulilia nataka kwenda msumbiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wewe si huwa unanijibu nani kanidanganya mfyuuuuuuHahaha hahaha hahaha hahaha
Nimewaza kwa jicho la tatu! Mbona mnaponda saaanaa!
Vyote hivyo hakuna, wasome wadauKukiwa na maelewano na upendo wa kweli, kujaliana na kuvumiliana hakuna haja
Jr[emoji769]
Kumbe unajua hiyo eenh ila kujitoa ufahamuPole sana best!
Ukishakubaliana na khali hakuna namna ingine
Huyo shetani mshindeni jamani ebu badilika kuanzia sasa ebu kuwa na sauti utaona atakavyokuwa mpole simama kama mwanaume
Mambo ya surprise ya watoto ebu niambue kuna nn najua nakuja nafata kitu flani
Ewaaaa haya ndio mambo hakuna asiyepitia changamoto kwenye ndoa yakeHahaaa mi staki presha bwanaa japo kuumia kupo ila usiumie sana mpeane makavu live siku ziendelee. Na ndo kuvumiliana hukooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nipo wapi eti
Jitahidi usifanye maamuzi yatakayo haribu future ya watoto. Samehe mlee watoto na mumeo. USIJE THUBUTU KUFUATA USHAURI AU KUTAMANI MAISHA YA WALIOFELI MAISHA KAMA AKINA kasie NA MBAYA ZAIDI WANATUMIA MBINU YA USHAWISHI KUWAPOTOSHA WENGINE. Be careful na watu type hiyo.πππ nakutamania kwakweli
Sasa je[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye ndoa dada
AiseeeUsemayo ni kweli lakini kwenye swala la kumrekebisha huyu mimi nishatoka kwenye mashindano.
Kwa sasa ni furaha binafsi tu ndiyo muhimu kwangu pamoja na kutoka matumizi ya familia basi,
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa je
Ufahamu gani etiKumbe unajua hiyo eenh ila kujitoa ufahamu