Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Eee mwenzangu wakati nakua nilitamani sana kuja kuolewa tena na kabila hiloo nililoolewa nalo Mungu kanipa exactly nilichotaka sasa inabidi nivumilie panda shuka zoteee ili nivikwe taji siku ya mwisho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We chizi sana mbona mm siipondi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu ni chaguo langu chaguo langu
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Nimewaza kwa jicho la tatu! Mbona mnaponda saaanaa!
 
Eee mwenzangu wakati nakua nilitamani sana kuja kuolewa tena na kabila hiloo nililoolewa nalo Mungu kanipa exactly nilichotaka sasa inabidi nivumilie panda shuka zoteee ili nivikwe taji siku ya mwisho
Pole sana best!
Ukishakubaliana na khali hakuna namna ingine
 
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Nimewaza kwa jicho la tatu! Mbona mnaponda saaanaa!
Akhaaa ya kwangu napambana nayo mm mwenyewe yakinizidi nitakuja kwako kukulilia nataka kwenda msumbiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wewe si huwa unanijibu nani kanidanganya mfyuuuuuu
 
Huyo shetani mshindeni jamani ebu badilika kuanzia sasa ebu kuwa na sauti utaona atakavyokuwa mpole simama kama mwanaume

Usemayo ni kweli lakini kwenye swala la kumrekebisha huyu mimi nishatoka kwenye mashindano.
Kwa sasa ni furaha binafsi tu ndiyo muhimu kwangu pamoja na kutoka matumizi ya familia basi,

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
😂😂🙄 nakutamania kwakweli
Jitahidi usifanye maamuzi yatakayo haribu future ya watoto. Samehe mlee watoto na mumeo. USIJE THUBUTU KUFUATA USHAURI AU KUTAMANI MAISHA YA WALIOFELI MAISHA KAMA AKINA kasie NA MBAYA ZAIDI WANATUMIA MBINU YA USHAWISHI KUWAPOTOSHA WENGINE. Be careful na watu type hiyo.
 
Usemayo ni kweli lakini kwenye swala la kumrekebisha huyu mimi nishatoka kwenye mashindano.
Kwa sasa ni furaha binafsi tu ndiyo muhimu kwangu pamoja na kutoka matumizi ya familia basi,

Sent from my iPhone using JamiiForums
Aiseee
Mungu awafanyie wepesi tu
 
Back
Top Bottom