Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eee mwenzangu wakati nakua nilitamani sana kuja kuolewa tena na kabila hiloo nililoolewa nalo Mungu kanipa exactly nilichotaka sasa inabidi nivumilie panda shuka zoteee ili nivikwe taji siku ya mwisho