Mada maalum kwa wanandoa

Mkuu nimesoma kama ndiyo hayo mmm pole sana yaani ndoa mwaka jana leo haipo duu nakupa pole tena anayejua matizo yule anaye ishi nayo pole tena huyo lilikuwa jipu kubwa lisilo iva
 
Duu hata kama sijakamilika lakini sio hivyo, yawezekana malezi
 
Mkuu kwa haya yote hata mie hapana
 
Huyo hakuwa mke janga, na hapo unapoishi ukitaka kuoa chukua mbali au ikiwezekana hama kabisa kama umepanga, kuna ndugu alikuwa naye aina hiyo kamfirisi jamani mpaka kuachana mmewe hana kitu kabisa
Hapo inawezekana malezi na makuzi yake, pia kabila au malezi ya mzazi mmoja asiyejitambua kumlea mtoto
 
Aiseee..
Akhsante Mungu hukuniumba wa kiume maana ningeumiza watoto wa watu kwa vipigo.
Hivi Kuna wadada wapo hivi kweli!?
Mkuu ungemnyoosha tangu mwanzo wa kiburi chake
 
Watoto Wana umri gani?
 
Mmmm
 
Wewe Unakunywa pombe??
 
Pole Sana Mkuu hao Viunbe Waitwao Wanawake Hata Mungu Alishamalizanaga Nao.
 
Hilo kweli lilikua bomu
 
Move on acha kuishi na kichomi aisee
 
Yani rafiki yake MTU wa form four, na mshonaji hapo nimepata kujua uelewa wa mkeo jinsi ulivo mdogo, mda wote alificha makucha baada ya ndoa kayatoa
 
Huyu mkeo ni mwanamke mpumbavu mno hasa number 4 ka kubuhu au ulioa mwanamke wauswahilini maana duh ana akili za kushikiwa huyo mambo ya ndoa na majirani wapi na wapi
 
Huyu mkeo ni mwanamke mpumbavu mno hasa number 4 ka kubuhu au ulioa mwanamke wauswahilini maana duh ana akili za kushikiwa huyo mambo ya ndoa na majirani wapi na wapi
Kuna baadhi ya tabia huja kujitokeza baadaye kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…