Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Nimemwambia hata mimi...wife yuko ktk right track [emoji848]

Utaendeshaje gari halina bima ya laki halafu unaenda kuspend 120, 000...full kuendesha usiku kama manyaunyau[emoji1787][emoji23][emoji23]

Jamaa jipuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa umenichekesha Witness eti kama manyaunyau wakati mwingine wanatuona sisi wakorofi lakini sio kweli
 
Mkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeoa bahati mbaya au kwa kupata sifa.. mwaka mmoja unaongea utumbu kama huu. Dunia simama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yanatokea sana, hasa unapokuwa na mke mwenye makelele. Japo wapo wale wanaofaidi ndoa yani kabla ya kwenda kazin unapata kiss na wishes kibao za hiyo siku + kurekebishwa tai, pande za huku ni hatari unazuga zuga mara akija kushtuka haupo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ahaaaaaahaaaaaaa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]....mkuu samahani hujaoa kajitafakari tena!

Au nyumba ya bidada? Kama mmepanga ndo analipa Kodi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya yanatokea sana, hasa unapokuwa na mke mwenye makelele. Japo wapo wale wanaofaidi ndoa yani kabla ya kwenda kazin unapata kiss na wishes kibao za hiyo siku + kurekebishwa tai, pande za huku ni hatari unazuga zuga mara akija kushtuka haupo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyie ni wapole sana aisee. Huyu wangu sijui naanzaje kumpigia kelele. Huwa nanyamaza tu yakinizidi napanda gari nasafiri tunasolve nikiwa mbali then narudi.
Nikiwa mbali ananitambua..nakuwa na confidence balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] namjibu chochote nachotaka mpk anashangaa, Ila nikiwa nae karibu thubutuuuu
 
Mimi kuoa itanichukua mda sana japo umri nao unakimbia kwa kasi sana, kama swala ni kuzaa watoto tayari ninao, bado nipo nipo sana, hongereni na poleni wenye ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni wapole sana aisee. Huyu wangu sijui naanzaje kumpigia kelele. Huwa nanyamaza tu yakinizidi napanda gari nasafiri tunasolve nikiwa mbali then narudi.
Nikiwa mbali ananitambua..nakuwa na confidence balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] namjibu chochote nachotaka mpk anashangaa, Ila nikiwa nae karibu thubutuuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hujuagi kuwa ubaya ndo huwa unavuma kuliko wema? Wapo wenye ndoa njema kibao tu, sema wengi wao hawanaga muda hata wa kuandika. Na hata wakiandika kusifia ndoa zao, tunakuwa wa kwanza kuwaongelea mbovu, sijui ndoa yenu ina miaka mingapi blah blah blah. In short binadamu hatupendi habari nzuri

Umeandika kama Jose Mourinho
 
Back
Top Bottom