Tindi
Member
- Apr 3, 2012
- 73
- 41
Asante kwa ushauri Tindi. Before taa haijaanza waka kuna fuse moja ya taa za parking ilikua imeungua. Fundi akaibadilisha na taa zikawa zinawaka (za parking na za dashboard). Inaweza kua ni tatizo eeh? Coz soon baada ya fuse kubadilishwa Kinondoni,kufika mwenge taa ikawaka
Hilo ndio tatizo la msingi,tafuta fundi mahiri wa umeme akukagulie gari yako utapata suluhisho la gari yako.
Pia unatakiwa ujue kwanini fuse iliungua ndipo akabadilisha
Kiufupi ni short circuit,matatizo haya mafundi wengi hukimbilia kuchokonoa engine na mwisho kuharibu magari ya watu
Last edited by a moderator: