Chukua swift passo haimudu dharubu.
Asalam aleykum humu ndani.
Jamani naomba kupata elimu kati ya toyota porte na toyota passo ni ipi ina body ngumu na nguvu.
Sawa mkuu ngoja mabingwa wa vyuma akina mshana na wengine washushe elimu.Naamini utapata majibu soon. ila hivi kipi ni muhimu kuwa imara kati ya engine na body? labda wataalamu watatudadavulia. japo kwa muonekani naona binafsi Paso ina bodi ngumu. kuhusu nguvu passo bila shaka pia itakuwa na nguvu kwani ina engine kubwa.
Sawa mkuu ngoja mabingwa wa vyuma akina mshana na wengine washushe elimu.
Nipeni data zote za nissan patrol 2000, chochote unachojua kuhusu hilo gari we tupia tu
Vipuri vyake mkasi
Preta huo ndio mfumo wa engine ya D4Hapa sielewi..........nini hii........?......
cc MANI..... Mshana Jr...... RRONDO........ OLESAIDIMU
Pembeni imeandikwa vvti.........so ni D4 na VVTI kwa wakati mmoja.........imekaaje hiyo..........?.........
Naomba kuuliza. Kama gari inauzwa 16M ina milege 125,000. Na nyengine kama hiyo inauzwa 24M inayo milege 75,000. Ipi ni rahisi ukizingatia milege. Naomba munisaidie mathematical formular
Uuzaji wa gari una mambo mengi sana ndani yake ukiacha ishu ya mileage
-kuna ishu ya kutaka tu kubadili gari
-Ukata na kuishiwa
-madeni
-kuhama nchi, mkoa nk
-kwenda masomoni
-Kubadili kazi na makazi
-kusitisha kumiliki kutokana na sababu zozote zile
-Kuhofia gharama na matunzo
-Biashara ya kawaida kwa nia ya kutengeneza faida
Kwahiyo unaweza kupata gari bomba sana kwa bei poa sana with low mileage au unaweza kupata gari kimeo sana/chakavu kwa bei kubwa kulingana na factors hizo hapo juu