Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Asalam aleykum humu ndani.
Jamani naomba kupata elimu kati ya toyota porte na toyota passo ni ipi ina body ngumu na nguvu.
 
images
 
Asalam aleykum humu ndani.
Jamani naomba kupata elimu kati ya toyota porte na toyota passo ni ipi ina body ngumu na nguvu.

Naamini utapata majibu soon. ila hivi kipi ni muhimu kuwa imara kati ya engine na body? labda wataalamu watatudadavulia. japo kwa muonekani naona binafsi Paso ina bodi ngumu. kuhusu nguvu passo bila shaka pia itakuwa na nguvu kwani ina engine kubwa.
 
Sawa mkuu ngoja mabingwa wa vyuma akina mshana na wengine washushe elimu.
 
Sawa mkuu ngoja mabingwa wa vyuma akina mshana na wengine washushe elimu.

Uimara wa gari ni kila kitu kinachohusika nacho ukishaona engine ni imara ujue hata body gearbox vyote vitakuwa poa japo kuna baadhi ni kweli body inakuwa nyanya lakini engine inakuwa poa
 
Ndugu zangu nawasalimu sana na naomba kujua utofauti,uimara na ubora wa gari aina ya hummer na Range rover.Tafadharini sana wataalam
 
Nipeni data zote za nissan patrol 2000, chochote unachojua kuhusu hilo gari we tupia tu
 
Katika uimala wa gari ukitaka kujua kama ni imara kwa haraka unaweza kuanza na dimension ukiona gari zinachuana kwenye vipimo vya dimension alafu ya kwako ina uzito kama wa njiwa anza kutafakari....japokua uzito wa gari unachangiwa na vitu vingi kama 4WD,aina ya gear box pmj na ukubwa wa injin,,,,hila all in all uimara wa bodi unachangia uzito kwa asilimia kubwa..kama kuna sehemu nimeteleza mshana jr atanikosoa
 
Habri zenu,najaribu kumjibu aliye uliza kati ya passo na port ipi gari ngumu,baadhi wamejibu ila mm naongelea uponde wa spesi,port ina nafasi zaidi kuliko passo japo milango yake cyo imara imekaa kama ya hiace na kwa mtu mwenhe famoly kubwa port ni nzri ila passo ni gari nzri sn na kwa mtu asiye na family kubwa ni nzri na consumption yake ni nzri sn,ushauri chukua passo ina muonekano mzri na hata kuagiza ushuru wake ni fear sn cjui kwa ss ila mm niliagiza mwaka jana ushuru ulikuwa 2,070,000 tra
 
Naomba kuuliza. Kama gari inauzwa 16M ina milege 125,000. Na nyengine kama hiyo inauzwa 24M inayo milege 75,000. Ipi ni rahisi ukizingatia milege. Naomba munisaidie mathematical formular
 
Pembeni imeandikwa vvti.........so ni D4 na VVTI kwa wakati mmoja.........imekaaje hiyo..........?.........

Yeah kuna baadhi ya engine ziko hivyo japo sio common, wamechukua mfumo wa direct injection (D-4) na kuuchanganya na Variable Valve Timing intelligence (VVTi) na kuchanganya pamoja hivyo kuifanya engine iwe ni 'Duo-power'
 
Naomba kuuliza. Kama gari inauzwa 16M ina milege 125,000. Na nyengine kama hiyo inauzwa 24M inayo milege 75,000. Ipi ni rahisi ukizingatia milege. Naomba munisaidie mathematical formular

Uuzaji wa gari una mambo mengi sana ndani yake ukiacha ishu ya mileage
-kuna ishu ya kutaka tu kubadili gari
-Ukata na kuishiwa
-madeni
-kuhama nchi, mkoa nk
-kwenda masomoni
-Kubadili kazi na makazi
-kusitisha kumiliki kutokana na sababu zozote zile
-Kuhofia gharama na matunzo
-Biashara ya kawaida kwa nia ya kutengeneza faida

Kwahiyo unaweza kupata gari bomba sana kwa bei poa sana with low mileage au unaweza kupata gari kimeo sana/chakavu kwa bei kubwa kulingana na factors hizo hapo juu
 
Nimesisitiza naomba kujua ukizingatia milege. Wakati zote anauza mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom