Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Habari ya jpili wadau! Naomba mnisaidie,hii taa ikiwaka kwenye dashboard inaashiria nini?

Habari bandugu! Nimeambiwa kuwaka kwa hii taa ni alert ya kwisha break pads. Ni aina gani ya break pads nzuri za kununua-Harrier.
 
Si kweli kaka hapo unapewa sumu tupu. Alichosema mshana jr ndio sahihi. Hizo taa zinawaka kwa sababu unatakiwa ukague mojawapo ya taa za nyuma (tail lights). Hizo prake pad sio alama yake hiyo, dont panick
 
Last edited by a moderator:

Breakpads zikiisha hutoa 'hissing sound' unapokanyaga break
 
Naweza kupata carina ti iliyotumika kwa hapa bongo angalau kwa bei gani wadau...
 
Si kweli kaka hapo unapewa sumu tupu. Alichosema mshana jr ndio sahihi. Hizo taa zinawaka kwa sababu unatakiwa ukague mojawapo ya taa za nyuma (tail lights). Hizo prake pad sio alama yake hiyo, dont panick

Breakpads zikiisha hutoa 'hissing sound' unapokanyaga break

Morning all! Lengo langu si kubishana ila naeleza hali halisi iliyopo. Nimekagua taa zote,hakuna iliyoungua hata moja lakini pia ilitokea tukaangalia break pads tukakuta zimekwisha. Aina ya break pads hizi iliyokuja nazo haina kibati kile kipigacho kelele-hissing sound. Ndio sababu fundi akatoa recommendation hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa tairi yako ni mpya, na ni original size iliyopendekezwa na mtengenezaji wa gari na upepo umejaza kulingana na ujazo uliopendekezwa kwa uzito ulio nao hakuna mabadiliko katika odometer na umbali halisi.Ikiwa tairi imelika madhalani millimita mbili basi kipenyo kitapungua kwa milimita nne, katika hali hii odometer yako itasoma zaidi ya mwendo halisi.
Kwa tairi 205/65R16 in maana 205 ni upana wa tairi ikiwa na upepo sawia. 65 ni asilimia ya ya tofauti ya kipenyo kila upande(profile ratio) na 16 ni kipenyo cha rim yaani 16"
Kupata kipenyo(k) cha tairi ktk mm fanya 16" ni 16*25.4 (mm406.4 kipenyo cha rim)+(205*65%*2)=672.9mm
Hivyo Mzingo(circumfrence) wa tairi size 205/65R16 ni k*PI = 672.9*3.14=mm2112.906= 2.112906m.
Katika kilomita moja ni mita1000 unapata mizunguko 1000/2.112906 = 473.28 ambapo odometer itasoma pia 1km kwa tairi yenye vigezo vya hapo juu. Ikiwa tairi imelika madhalani 2mm kwa uwiano basi itakuwa imelika 2*2=4mm hivyo kipenyo inakua 672.9-4=668.9mm na mzingo ni 668.9*3.14= 2.100346mtrs. Kwa mizunguko 473.28*2.100346 utasafiri mita 994.05175488 pungufu ya mita 5.9 ulizosafiri lakini odomita inasoma 1km(mita1000).
Naamini utanielewa ukienda taratibu.

Hapo kwenye kipenyo, mzingo, n.k. mimi hoi! Hongera sana mkuu. Namba huwa haziongopi.
 
msaada wenu ndugu zangu! hili linaweza kuwa tatizo gani? gari inatetemeka sana hasa ikiwashwa ac, mtetemo huo upo zaid kwenye steering, lakini ukiishika na kuanza kuendesha inatulia, ukisimama mtetemo unarudi kama awali! shida hii inasababishwa na nini? solution ni nini?
 
Mkuu jaribu kukagua engine mounts zote naweka msisitizo kwenye ile ya gear box.pia cheki a.c fan yako au hata engine fan pia.zikianza kuchoka zinavibrate na kutikisa gari.pia mtetemo huo unausikia sana kwenye milango ukiwa umeifungua bila kuzima gari.
 
Wana jf naomba msaada nitapata wapi duka gani ktk jiji la daresalam spears za gari langu aina ya estima emina ( toyota)-. Gari pichaniView attachment 285227
Naongerea spear kwa ujumla za hii gari nitapata wapi nikiwa jijini daresalaam

Kesho tar 14 Sept......be forward wanafungua mall yao.......Tabata Mandela road........kwa ajili ya parts tu........sasa mambo bwerereeee.......hakuna tena mawazo ya sijui Nissan.......Chevrolet.......Tundra etc.........sasa hivi kama Ulayaaaaaaaa..........sisi ni kuendesha tu..........
 
Toyota duet, Daihatsu na terois kid
sorry mkuu mshana jr, naomba msaada wa kujua hizi terois tofauti zake,naona kuna hii imesema inaitwa terois kid. Na vipi uimara wake(durability) kama alivyouliza mdau mmoja hapo juu. Kwa sisi wa mikoani/mashambani ambako barabara sio rafiki kabisa! Je inaweza kudunda kama escudo?
 
Mkuu jaribu kukagua engine mounts zote naweka msisitizo kwenye ile ya gear box.pia cheki a.c fan yako au hata engine fan pia.zikianza kuchoka zinavibrate na kutikisa gari.pia mtetemo huo unausikia sana kwenye milango ukiwa umeifungua bila kuzima gari.

sawa mkuu ngoja nicheki, milangoni hakutikisiki!
 
Morning all! Lengo langu si kubishana ila naeleza hali halisi iliyopo. Nimekagua taa zote,hakuna iliyoungua hata moja lakini pia ilitokea tukaangalia break pads tukakuta zimekwisha. Aina ya break pads hizi iliyokuja nazo haina kibati kile kipigacho kelele-hissing sound. Ndio sababu fundi akatoa recommendation hiyo.

No 1 is ment to argue or altercate! ImageUploadedByJamiiForums1442171294.358366.jpgImageUploadedByJamiiForums1442171324.977430.jpg

We always justify the answers with evidence. The screenshots are international vehicle simbols as displayed on dashboard, wether a symbol, acronym or a picture.

If tail lights symbol dispay on your dashboard means one of tail light needs to be replaced
 
sorry mkuu mshana jr, naomba msaada wa kujua hizi terois tofauti zake,naona kuna hii imesema inaitwa terois kid. Na vipi uimara wake(durability) kama alivyouliza mdau mmoja hapo juu. Kwa sisi wa mikoani/mashambani ambako barabara sio rafiki kabisa! Je inaweza kudunda kama escudo?

Ni make tu hizo hazitofautiani kivile ni all weather cars na vina four wheel
 
msaada wenu ndugu zangu! hili linaweza kuwa tatizo gani? gari inatetemeka sana hasa ikiwashwa ac, mtetemo huo upo zaid kwenye steering, lakini ukiishika na kuanza kuendesha inatulia, ukisimama mtetemo unarudi kama awali! shida hii inasababishwa na nini? solution ni nini?

Scroll juu kuna majibu ya hili swali lako..kwenye comment za April hivi
 
Back
Top Bottom