Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Nachangia kodi hapa yombo vituka Kwa SAM, chimbo lipo njiani tu ukitokea monie kuelekea kwa limboa baadae ngwasuma wapo sunset leo natimba kulipa Jodi, hata mm hayo maadhimisho yao ya kipuuzi nayakata kwa nguvu zone.
 
Kuna ma old school yanapigwa hapa si mchzo limetoka kupigwa goma la zhane hey Mr dj Dah balaaaa

Ova
 
Hapo Katibu unashea choo na wapangaji wa humo ndani
Bwanaaa Balaaaaaa nishapataga msala yule dj msomali ideed akaniokoa nilienda toi dem
Wakati anatoka jamaa yake akaja akahisi namtongoza kumbe mm sina lile wala wale
Ahh wakatkanianzishia mtiti mm kila nkiwa please bado jamaa wakali maana walikuwa wamelewa
Ehh ilikuja tag kunifata wanasema nn maana sisi wengine kinondoni yote tuko poa
Jamaa wale waka snda
Ila ideed alkufaga unajua yule aliyekuwa anapiga mzikihapa
Pombe wakati mwingine tunakutana na visanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
Tatizo ndio hilo, muda mwingine unakuta uani wametulia si walikuwa wagogo wauza kahawa wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…