Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pilsner King, ni balaa, juz ijumaa tulikuwa Maeneo ya Goba, tuko washkaj wanne, mara Mmoja akasema Wife anakuja anataka ale hapa, baada ya Muda akaja, sasa yule jamaa aliekuwa anakunywa Pilsner akawa ameshakunywa 3,.so akaagiza na konyag ndogo,.dah, sasa mshkaj aliyekuja na mke wake akaenda alipe bill ya chakula ili amrudishe wife Home,.sasa huku nyuma jamaa wa Pilsner konyag akamwambia mke wa jamaa kuwa Mume wako ni mtu wa totoz sana, anapenda hata wahudumu wa bar,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatar sana... ile kitu sio ya kuchezea
Huyo jamaa nae mbwiga kweli....utamletaje mke wako kwenye kundi la walevi...wanaweza mshika hata..kota
 
Mukunywe tu hakuna namna
IMG-20180912-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom