Hakudhurika mkuu? 🤔Aliekuwa Rais wa USA Teddy Roosevelt 1912 alipigwa risasi ya kifuani akiwa anahutubia
Aliendelea kuhutubia akiwa anatokwa damu na kukataa kutibiwa mpaka kumaliza hotuba yake ya dakika 84
View attachment 1797154
Nadhani hakuweza kufariki kwa tukio Hilo Bali alifariki 1919 miaka 8 baadae.Hakudhurika mkuu? [emoji848]
Wala hakuanguka
Kwani Obama aliingia na miaka mingap?Nadhani hakuweza kufariki kwa tukio Hilo Bali alifariki 1919 miaka 8 baadae.
Kwa kipindi hiko na pengine hata Sasa ni rais wa marekani alipata kushika madaraka akiwa na umri mdogo miaka 42.
Hakudhurika mkuu? [emoji848]
Wala hakuanguka
Code name ya Wali nyumbani hiyo..Leo jioni mwala chakula gani😀😀😀utasikia Condoleesa.Maisha yanaenda kwa kasi.Bi condoleezza Rice aliwahi kuwa mwanamke maarufu akiwa kiongozi wa wizara ya nje ya marekani. Akiwa Ni mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Africa kushika wadhifa huo. View attachment 1796689
Nipo naangalia series ya Narcos inayohusu maisha ya Pablo Escobar, japo alikua muhalifu ila hua namuAdmire sana. Moja ya kitu alichonifurahisha ni kupiga hii picha mbele ya ikulu ya marekani akiwa na mwanae wakati huo anatafutwa balaa. Hakuishia hapo aliipeleka familia yake kwenye kituo cha Disneyland marekani kula bata
View attachment 1797542
Hivi huyu jamaa ilikuwaje mpaka akakatwa miguu yote miwili?Oscar Leonard Carl Pistorius. South African former professional sprinter.
At the 2011 World Championships in Athletics, Pistorius was the first amputee to win a non-disabled world track medal.
At the 2012 Summer Olympic Games, Pistorius was the first double-leg amputee participant.
View attachment 1795549
The most beautiful woman ever.Uzi bora kabisa.
Nasubiri picha Cleopatra ambaye inasemekana alikuwa the most woman ever.
Nimeshindwa ku upload picha, kwani ni kosa kutokuwekwa picha za Karl Max au Martin Luther JrUzi umekaa poa sana huuu nataman usifike mwishoo uendelee tu
Wapi Collin Powel? Mmarekani Mweusi wa Kwanza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa US, Mwenyekiti wa (Chairman of Joint Chief of Staffs).Bi condoleezza Rice aliwahi kuwa mwanamke maarufu akiwa kiongozi wa wizara ya nje ya marekani. Akiwa Ni mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Africa kushika wadhifa huo. View attachment 1796689