Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Kuna mhanga nilipiga teke makopokopo yake nika mkunja roba kama nusu dakika nikamwambia fanya chochot umbwa wewe akanambia utaona niliyafanya haya miaka sita iliyopita
Hahahaaa!

Jamaa huwaga ni waongo sana.

Kama huyo Mshana eti anadai aliniroga mambo yangu yakayumba.

Nimemwambia ayataje hapa mambo yaliyoyumba, anaanza kukwepa.

Waongo sana hao waumini wa hizo imani.
 
Hahahaaa!

Jamaa huwaga ni waongo sana.

Kama huyo Mshana eti anadai aliniroga mambo yangu yakayumba.

Nimemwambia aweke ayataje hapa mambo yaliyoyumba, anaanza kukwepa.

Waongo sana hao waumini wa hizo imani.
Juzi narud hom saa nane usiku nikaskia visaut chini ya mti sivielew elew nikasogea hapo sikuona kitu nilitaka nikamate nitandike makofi takataka zote
 
Acha kujificha nyuma ya sijui codes.

Taja hayo mambo yaliyoyumba….la sivyo wewe ni muongo na mzushi tu kama hao watu wanaoamini huo upumbavu wa ushirikina au sijui uchawi.
😀😀😀 mbona una
Acha kujificha nyuma ya sijui codes.

Taja hayo mambo yaliyoyumba….la sivyo wewe ni muongo na mzushi tu kama hao watu wanaoamini huo upumbavu wa ushirikina au sijui uchawi.
Kama huamini take it easy😀
 
Hahahaaa!

Jamaa huwaga ni waongo sana.

Kama huyo Mshana eti anadai aliniroga mambo yangu yakayumba.

Nimemwambia ayataje hapa mambo yaliyoyumba, anaanza kukwepa.

Waongo sana hao waumini wa hizo imani.
😀😀😀 sass kwanini hii sentence yangu imekuumiza sana? Najua na natambua huamini katika ushirikina
 
😀😀😀 sass kwanini hii sentence yangu imekuumiza sana? Najua na natambua huamini katika ushirikina
Again….unajipa uwezo ambao huna! Dalili za delusions hizo.

Huna uwezo wa kuathiri mambo yangu yoyote yale.

Na huna uwezo wa kuandika sentensi [iliyo ya uongo] halafu niumie.

Umetoa madai. Nimeku challenge. Umeshindwa kutoa ithibati ya hayo madai yako.

Typical tabia ya watu wenye kuamini mambo uchawi. Kujipa uwezo na umuhimu ambao kiuhalisia hawana.

Ukiwabana, wanaanza kuleta blah blah.

FOH with your BS.
 
Naona matunguli yenu na matakataka mengine yanasalimishwa na kuchomwa Moto kule kawe kwa Mwamposa.
Vipi anawashinda nguvu?
 
Ukweli Mshana Jr ni mmoja wa watu wanaohalalisha na kusababisha watu wengi kukimbilia kawe kwa Mwamposa kupambana na vitisho vya matunguli anayoleta humu kutisha watu. Ana msaada mkubwa Sana kwa wana kawe wanapoona matunguli ya akina Mshana Jr yakisalimishwa na kuchomwa Moto.
Kwa hili namshukuru Sana Mshana Jr endelea kutisha watu wakimbilie ulinzi wa Mungu.
 
 
Panazidi kuchangamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…