Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Watu JF mnaichukulia serious sana aiseee..!! 😹😹
 
Jaman samahan, kama kuna kukwaruzana, jitahidini kusameheana..
Hata kama hamfahamiani jitahidi kusameheana bandugu.
 
Sema kumuaminisha mtu aliyelelewa na wazazi washirikina(Waamini Uchawi) kuwa uchawi haupo ni kazi sana.
Ni kazi ngumu sana aisee!

Nimekuja kugundua kuwa watu wanaoamini hayo mambo huwa hawatumii akili.

Ni kama vile wanazima kabisa akili zao.

Dini na uchawi ni mabawa mawili ya ndege mmoja kwa sababu msingi wake mkuu ni imani.

Ila pia nimekuja kugundua kuwa kwenye dini [imani ya mungu] kuna walau kiasi flani cha matumizi ya akili katika kuaminisha uwepo wa mungu.

Huko kwenye uchawi matumizi ya akili hayapo kabisa. Ni mwendo wa ujinga na upumbavu tu. Tena wakati mwingine inaonekana kama vile hao waumini wa uchawi hufanya mashindano ya kujionyesha nani ni mjinga na mpumbavu zaidi.

Kwenye dini kuna intellectuals kibao. Kuna mapadri, maaskofu, wqchungaji, mashehe nk. ambao hutumia akili katika kuendeleza na kuhubiri imani zao.

Ukija kwenye uchawi wala huhitaji kwenda ndani sana. We Angalia tu hata wale watu ambao hudaiwa wamedondoka na ungo.

Kwa muonekano tu wanaonekana kuwa kichwani hamnazo 🤣.
 
Huyu ni bwana na bibi?
Naona kishundu na kitambi.
 
Mganga mkweli hayupo na hatatokea, waganga ni agents wa shetani na hushurikia a na wachawi kufanya kazi ya babao shetani.


Mlokole, aliye okoka,mwenye chapa ya Kristo usoni mwake, mwana wa Mungu, hawezi kuonekana kwenye rada za kichawi.

Ukichukua nyayo huyeyuka na kugeuka moto,nk nk
 
Weee na Mussa (Moses) nani zaiidi na ukumbuke huyo alikuwa anaambiwa na Mungu live kuliko.wewe mpaka ulale uote ndoto zitafsiriwe na nabii, mtume achane zenu bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…