Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

Waswahel wanasema.. Tembea uone.. Ya kuonwa ndio hayo sasa
 
Upo,lkn utakupata kwa idhini yake mungu,hivyo mtegemee mungu pekee na yeye ndiye waguopwa,,si uchawi.
 
Kwa nini matunguri na vifaa vingi vya kichawi vinakuwaga vichafu vichafu? Je kuna uhusiano gani kati ya uchafu na uchawi?
 
NJIA YA UCHAWI YA KUGUNDUA UNA NGUVU HASI AU LAANA

Jinsi ya Kufanya jaribio la Laana ya njiti ya Hex:

1. Jaza glasi maji.

2. Chukua vijiti 3 vya mbao.

3. Nuia katika kufichua ikiwa umelaanika au umelaaniwa.

4. Weka vijiti vi3 ndani ya maji kwa wakati mmoja.

5. Angalia jinsi wanavyoelea.

MAANA:

Vijiti vyote 3 vya kiberiti vinaelea kando: Hujalaaniwa.

Vijiti 2 vya kiberiti vinagusa au kuvuka: Unaweza kuwa chini kiroho au una wivu.

Vijiti vyote vi3 vinagusa au kukusanyika pamoja: Uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa , laana au nishati hasi
 
Mi ukija kwangu kwa ubaya utaona kaburi na mashada kuwa nishakufa siku nyingiii utarudi zako
 
Mkuu mshana napataje mawasiliano Yako ? Pls, l have some thing to share with u,if u don't mind.
 
Kwa nini matunguri na vifaa vingi vya kichawi vinakuwaga vichafu vichafu? Je kuna uhusiano gani kati ya uchafu na uchawi?
Hakuna mahusiano ya uchafu na uchawi na ndio maana wengine hutumia visomo tu kufanya uchawi au kutibu hatumii tunguri au hivyo vifaa unavyosema vichafu, ila wenzetu wazungu pia kwa kiasi kikubwa unakuta vifaa vyao ni visafi.

Kwahiyo kwa kifupi hakuna uhusiano wa uchawi na uchafu.
 
Ukilogwa ukiwa kwenye frequency za chini ukiwa kwenye frequency za juu hata wachawi wanakuogopa unakuwa umevuka level za kulogwa thus wengine sisi hatulogeki tushatoka huko
Unawezaje kujua haurogeki? Kwa sababu uchawi ulivyo upo wa aina tofauti na ndio maana unaweza ukashindwa kumroga mtu kwa kumtia labda au kumuuwa sababu ya kinga aliyonayo ila ukimroga uchawi wa mapenzi unampata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…