Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!
Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...
Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane
Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.
Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.
NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Naomba msipotoshe nilichoandika na ninachomaanisha katika muktadha wake please rudieni kusoma tena nilichoandika
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
ndio vipo vya aina mbalimbali vidogo hadi vikubwa vingine sio ugonjwa wala nini . hata havionekani vipo ndani
Nyie hamjui tatizo aliloliongelea mtoa nada.Halafu bawasiri inatibika. Na inahusianaje na mikosi? Ndio nashangaa hapa. Ila ukiwa na imani za ajabu ajabu unaishi maisha ya wasiwasi hadi huruma!
Sent from my ONE A2005 using JamiiForums mobile app
No wanataka kupotosha kwa makusudi kabisa I just don't know why !!!! Mpaka mwisho wa mada nimeweka na NB kabisa tena nimeweka na space, lakini wanapita kama hawaioniNyie hamjui tatizo aliloliongelea mtoa nada.
Bawasiri si ni ugonjwa unaofahamika karibu na kila mtu!
Bawasiri vinyama huota kwa kutokea ndani ya "tundu".
Hii kitu anachosema chenyewe huotea katikati kabisa, spinal ilipoishia.
Tungeendelezwa katika uumbaji kama walivyo wanyama, tungesema "tulipokatiwa mkia" ndipo panapoongelewa.
Sasa best wote tukilia nani atambembeleza mwenzie?Usilie best ujue utaniliza na mimi[emoji24] [emoji24]
mkuu mshana kasema njia ya haja kubwa kamsome vizuriNyie hamjui tatizo aliloliongelea mtoa nada.
Bawasiri si ni ugonjwa unaofahamika karibu na kila mtu!
Bawasiri vinyama huota kwa kutokea ndani ya "tundu".
Hii kitu anachosema chenyewe huotea katikati kabisa, spinal ilipoishia.
Tungeendelezwa katika uumbaji kama walivyo wanyama, tungesema "tulipokatiwa mkia" ndipo panapoongelewa.
Nimesema kwa uwazi kabisa NJIA YA HAJA KUBWA
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Nyie hamjui tatizo aliloliongelea mtoa nada.

Tutabembelezana na kufutana machoziSasa best wote tukilia nani atambembeleza mwenzie?