Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

Tuwiane radhi mno na isije kuchukuliwa kuwa naandika mambo yasiyofaa kwa kisingizio kuwa kuna watoto, lakini tukumbuke kuwa hii ni JF where we dare to talk openly!

Kila mtu ana changamoto nyingi katika maisha lakini zinapozidi kwa baadhi ya watu ujue kuna shida mahali...

Tumesikia mara nyingi kuwa kuna wanawake mlango wa nane! Yani ukiingia naye kwenye mahusiano kila kitu kinaparaganyika na kuandamwa na mikosi nuksi na balaa mpaka muachane

Sasa kuna hili la kinyama njia ya haja kubwa! Kinakuwa kama kimkia kidogo sana! Wanawake wenye hiki kinyama hawana bahati ya kudumu kwenye mahusiano. Ni watu wa kuumizwa na kutendwa kila mara! Furaha yao huwa ni ya muda mfupi tu na pale wanapojaribu kutafuta ufumbuzi kwa waganga hujikuta wameharibu kabisa kwa kubambwa na madawa hirizi nk na kuishia kuachwa kwa aibu.

Ni jambo la kushangaza kuwa kuna uhusiano gani kati ya kinyama husika na maisha ya mtu! Lakini hiyo ndio hali halisi.

Leo hakuna picha na naomba tusiulizane kuwa nimejuaje, wote hapa sisi ni watu wazima.

NB: Hiki si ugonjwa wala uvimbe kipo tu tangu kuzaliwa
Naomba msipotoshe nilichoandika na ninachomaanisha katika muktadha wake please rudieni kusoma tena nilichoandika

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
ndio vipo vya aina mbalimbali vidogo hadi vikubwa vingine sio ugonjwa wala nini . hata havionekani vipo ndani

labda iwe ivo jamaa yangu last year alipata iyo kitu ilimtesa mno mpaka kudrive ilikuwa issue
 
Kwa hyo hicho kimkia kilisahaulika wakati wa ktk hatua fulani ktk ukuaji? Au kimeota kishirikina
 
Kwa hyo hicho kimkia kilisahaulika wakati wa hatua fulani ktk ukuaji? Au kimeota kishirikina
 
Halafu bawasiri inatibika. Na inahusianaje na mikosi? Ndio nashangaa hapa. Ila ukiwa na imani za ajabu ajabu unaishi maisha ya wasiwasi hadi huruma!

Sent from my ONE A2005 using JamiiForums mobile app
Nyie hamjui tatizo aliloliongelea mtoa nada.
Bawasiri si ni ugonjwa unaofahamika karibu na kila mtu!
Bawasiri vinyama huota kwa kutokea ndani ya "tundu".
Hii kitu anachosema chenyewe huotea katikati kabisa, spinal ilipoishia.
Tungeendelezwa katika uumbaji kama walivyo wanyama, tungesema "tulipokatiwa mkia" ndipo panapoongelewa.
 
No wanataka kupotosha kwa makusudi kabisa I just don't know why !!!! Mpaka mwisho wa mada nimeweka na NB kabisa tena nimeweka na space, lakini wanapita kama hawaioni
Lakini mmh huwezi jua kwanini mtu anabisha kwa nguvu zote na vijembe juu! [emoji102] [emoji144] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
external-hemroid-and-skin-flap-2.jpg
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Nyie hamjui tatizo aliloliongelea mtoa nada.
Bawasiri si ni ugonjwa unaofahamika karibu na kila mtu!
Bawasiri vinyama huota kwa kutokea ndani ya "tundu".
Hii kitu anachosema chenyewe huotea katikati kabisa, spinal ilipoishia.
Tungeendelezwa katika uumbaji kama walivyo wanyama, tungesema "tulipokatiwa mkia" ndipo panapoongelewa.
mkuu mshana kasema njia ya haja kubwa kamsome vizuri
 
Nimesema kwa uwazi kabisa NJIA YA HAJA KUBWA

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
Nyie hamjui tatizo aliloliongelea mtoa nada.
Bawasiri si ni ugonjwa unaofahamika karibu na kila mtu!
Bawasiri vinyama huota kwa kutokea ndani ya "tundu".
Hii kitu anachosema chenyewe huotea katikati kabisa, spinal ilipoishia.
Tungeendelezwa katika uumbaji kama walivyo wanyama, tungesema "tulipokatiwa mkia" ndipo panapoongelewa.
 
ni kama hivi?
tails_08.jpg

mshana jr sijui na mie ninacho? Ngoja nikutafute unikague.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji102]

Back
Top Bottom