Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Naunga mkono hoja
EK ni mwandishi wa IJ, amefanya IJ yake akaandika kitabu, unless kama unakijua kilichompata Ben Saanane, huna moral authority kumkosoa EK!. Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

P
Who the fcuk is Kabendera not to be questioned? He is not above reproach and he has an axe to grind.

He hasn’t provided any proof other than just words.

When you lay out extraordinary claims without proof we have the right to ask for the extraordinary evidence.

You can’t call someone a cold blooded murderer and not provide proof.

You can’t call someone a rapist without proof.

Where is Kabendera’s proof that Magufuli committed murder at state house?
 
Hata Hitler, Idd Amin, Bokassa, Mussolini bado wanasema(wanasingiziwa?) na hawana uwezo wa kujitetea. Hivyo basi Magu kama hao 'wenzake' naye ataendelea kusemwa tu, hivyo ndivyo jinsi uhalisia ulivyo.
 
Ulivyomaliza na conclusion yako inaonekana kabisa una chuki ya wazi na marehemu na unatakiwa kupuuzwa.
 
Mimi huwa naamini mtu akifanya kitu kwakukusudia huwa anachokitu kingine cha kumlinda
Kabendera kuandika hili anayosababu nyuma yake
 
Akili zingine

Yaani umpige mtu risasi Ikulu uache kwenda kumtupa bahari ya hindi mbele yako, umpakie kwenye gari na midamu inachuriza mpaka mto Rufiji.

Wakati baharini mwili ukiufunga na jiwe ndio bye bye tena ushakuwa chakula cha deep sea creatures.

Uache bahati, mbele yako ukamtupe kwenye mto ambao maji yanasogea chances za mwili kuokotwa ni kubwa.

Ukampige mtu risasi Ikulu, tena ya kichwa tena at close range huo ubongo na damu si itatapakaa Ikulu nzima hao watakao futa hiyo damu si watajua.

Ben aende Ikulu mwenyewe, na mikamera yote ya Ikulu, wafanyakazi wote wa Ikulu ambao watamuona anavyoingia, watakaomkagua; halafu wasimuone akitoka na ikawa siri.

Watu walikuwa wanatoa siri za vikao na classified documents zama za Magufuli kwa kigogo, wangeacha kusema mara ya mwisho aliingia Ikulu kabla ya kupotea.

You must be very stupid kuamini improbable scenario ya Kabendera.

Kitabu chenyewe hata wazungu kwao hawaja kichapa maana hata wao wameona ujinga mwingi. Kimechapishwa huko S.A kwenye wapuuzi wenzetu.
 

Ashitakiwe, ushahidi ataenda kuutoa mahakamani.
Investigative Journalist Erick Kabendera atawenyea mahakamani. Jichetueni. 😁
 
Nina swali moja dogo kwako, Ben Saanane amepotea kweli au uongo?.

Unajua kilimtokea nini?.
EK ni mwandishi wa IJ, amefanya IJ yake akaandika kitabu, unless kama unakijua kilichompata Ben Saanane, huna moral authority kumkosoa EK!. Erick Kabendera: Will I be safe or I may end in the prison tomorrow?

P
 

Kabendera kaleta kadhia kubwa sana. Mmepoteana. 😁
 
Swali la kujiuliza ni moja Tu

Je Ben saa nane alikuwa na madhara makubwa Kwa serikali?

Je beni saa nane angeweza kupindua utawala wa magufuli?

Je Ben saa nane alikuwa na madhara yoyote Kwa Rais Personal?
Kwani Tundu Lissu alikuwa na uwezo wa yote haya☝🏻☝🏻?

Alikuwa na madhara gani kwa serikali? Kwa Magufuli mwenyewe personal? Alikuwa na uwezo wa kupindua serikali..?

Majibu ya maswali yako yote hayo yako kwenye jibu la swali hili👇🏻 kama utaitendea haki nafsi yako mwenyewe kwa kulitolea jibu sahihi...

Tell us.

Why do you think Mr. Magufuli wanted Tundu Lissu to be brutally killed in that way...
?

Au na wewe utarudi kulekule kuuliza, "una ushahidi kuwa Magufuli alitaka kumuua Tundu Lissu..?"

Ukiuliza swali hilo☝🏻, moja kwa moja nitakujua wewe ni mtu wa namna gani...

Katika kipengere hiki nakuachia swali muhimu hili👇🏻👇🏻

Hivi wewe kwa akili zako unadhani shetani huwa na sababu zozote za maana na za msingi anapokutafuta akuangamize/akupoteze/akuue..?

All I can say, maswali yako yote haya ni inconsequential & illogical...!
If not then Magu hawez kumuua Kwa kumpiga risasi trust me
No body with perfect mind can trust yo...

Kama hakumuua kwa "kumpiga risasi", then tell us, how he killed him? Alimpa sumu? Alimnyonga? Alimkaanga kwenye tindikali? How...??

Vyovyote iwavyo, Ben Sanane hayupo, if he's truly dead, it doesn't matter alimuua kwa njia gani. Ukweli ni mmoja tu ALIMUUA...!!
Kabendera ana history mbovu na magufuli so anaweza kusema anything
Eleza, fafanua...

Ni historia gani mbaya aliyonayo na huyo aliyeitwa John P. Magufuli...?

Au hujui kuwa Erick Kabendera ni mmojawapo wa victims wa utawala wa kikatili wa Magufuli..?

Hujui kuwa naye aliponeaga chupuchupu kuuwawa na huyo bwana...?
Ila nitakuwa wa mwisho kuamini magu alimshoot Ben saa nane
Bora ubaki huamini kuliko kujenga hoja dhaifu na mfu kutetea kutoamini kwako...!!
 
Hakutoa 'bunduki yenye kiwambo cha sauti(sijasema govi)' wakati akitaka kumbaka kweli!?
 
Una akili ndogo!!.. unadhani ikulu ni nyumba ya vyumba vinne na sebule
 
Go figure!

Na ya kumbaka Samia je? This shit is beyond comical.

Unajua mtu ukiwa unamchukia, pale usikiapo habari yoyote ile iliyo mbaya inayomhusu, unakuwa more inclined kuiamini kwa sababu hisia zako zinakuwa clouded na hatred uliyonayo dhidi yake.

Eti Magufuli alienda nyumbani kwa Samia kavaa pajama 🤣 akala mzigo kwa nguvu.

Ndo level zetu hizi Watanzania. Wanaohoji ni wachache na wanaoamini [bila ushahidi wowote] ni wengi kuliko.

So dumb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…